Posts

Showing posts from September, 2016

RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu Mhe. Kassim  Majaliwa kabla ya kuanza kwa Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam jana Septemba 29, 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongoza  Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam jana Septemba 29, 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongoza  Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam jana Septemba 29, 2016 Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiongea mara baada ya kumalizika kwa  Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam jana Septemba 29, 2016 PICHA NA IKULU

RAIS MAGUFULI APOKEA HATI YA UTAMBULISHO KUTOKA KWA BALOZI WA UINGEREZA HAPA NCHINI

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Uingereza hapa nchini Sarah Catherine Cooke Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Balozi mteule wa Uingereza hapa nchini Sarah Catherine Cooke mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Balozi mteule wa Uingereza hapa nchini Sarah Catherine Cooke mara baada ya kupokea hati zake za utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Balozi mteule wa Uingereza hapa nchini Sarah Catherine Cooke kufuatia mchango wa Waziri Mkuu wa Uingereza alioutoa kwa Serikali ya Tanzania kwa ajili ya kusaidia waathirika wa Tetemeko la Ardhi mkoani Kagera kiasi cha Paundi za Uingereza Milioni 2.3 sawa na Takribani Shilingi Bilioni

SSRA yazungumzia hofu ya wananchi kuhusu mifuko ya hifadhi ya jamii

Image
Mkurugenzi wa Huduma za Sheria wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Onorius Njole (kushoto), akitoa ufafanuzi mbalimbali kwenye semina ya siku moja ya wanahabari kuhusu mifuko ya jamii Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkuu wa Idara ya Uhusiano na Uhamasishaji, SSRA, Sarah Kibonde. Na Dotto Mwaibale MAMLAKA ya Usimamizi wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii nchini (SSRA), imewataka Watanzania kuondoa hofu iliyojengeka kwenye jamii kuwa mifuko ya hifadhi ya jamii ina hali mbaya kifedha. Akizungumza katika warsha maalum ya siku moja ya waandishi wa habari, iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam, Kaimu Mkurugenzi wa SSRA, Ansgar Mushi alisema kuwa mifuko hiyo haina hali mbaya kama wanavyodhani watu katika jamii kwani ina fedha za kutosha. “Watanzania wamekuwa wakiambizana kuwa mifuko hii ina hali mbaya kifedha, napenda kuwahakikishia kuwa ina fedha za kutosha kwani tumekuwa tukifanya ukaguzi wa mara kwa mara. Katika kaguzi zetu za m

Taarifa kwa wafanyabiahara wa utalii kuhusu kusajili na kulipia ada ya leseni 2016

Image
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII WAFANYABIASHARA WA UTALII KUSAJILI NA KULIPIA ADA YA LESENI YA MWAKA 2016 Wizara ya Maliasili na Utalii inawakumbusha wafanya biashara za utalii wasiokuwa na leseni ya biashara hiyo inayotolewa kwa mujibu wa sheria ya Utalii Na. 29 ya Mwaka 2008 Vifungu Na.10 na 31, kuwa wanatakiwa kusajili na kulipia ada ya leseni kwa mwaka 2016 ifikapo tarehe 31 Oktoba, 2016. Biashara za Utalii husika ni hizi zifuatazo: 1 Kampuni za kusafirisha watalii 10 Vivutio vya kuuza bidhaa za urithi (Cultural heritage centres) 2 Kampuni za uwindaji wa kitalii 11 Wajasiriamali wa utalii wa utamaduni (Cultural tourism enterprises) 3 Wawindaji Bingwa 12 Kampuni za kukodisha vifaa vya utalii 4 Kampuni za kusafirisha watalii kwa ndege 13 Maeneo ya michezo ya burdani (Theme parks, wildlife forms. Zoo, snake parks etc) 5 Kampuni za kusafirisha watalii kwa Maputo (hot air balloon) 14 Kampuni za kukodisha magari kwa watalii 6

MAGAZETI YA LEO ALHAMISI

Image

Waliochaguliwa kujiunga vyuo vikuu mbalimbali kwa mwaka wa masomo 2016/2017

Chuo Kikuu Cha Mwalimu Nyerere   <<bonyeza Hapa>>   Chuo Kikuu Cha UDSM, DUCE na MUCE  <<bonyeza Hapa>>   Chuo Kikuu Cha Tumaini Makumira  <<Bonyeza Hapa>>  Chuo Kikuu Cha UDom  <<bonyeza Hapa>> Chuo Kikuu Cha IFM  <<Bonyeza Hapa>> Chuo Kikuu Marian  << Bonyeza Hapa>> Chuo Kikuu CBE  << Bonyeza Hapa>> Tumaini - Mbeya  << Bonyeza Hapa>>  &  <<Hapa>> Chuo Kikuu MUM  << Bonyeza Hapa>> Chuo MUM (Diploma)  <<Bonyeza Hapa>> Chuo - Stella Maris  << Bonyeza Hapa>> Chuo- Kampala - KU  << Bonyeza Hapa>>

WhatsApp adds option to invite people to group chat via links

Image
The popular messaging app, WhatsApp has added the ability to invite someone to join a group chat with a link. Any WhatsApp administrator who has joined the beta program (go to  Google Play and become a beta tester for this app ) have this option in the latest release (or download the APK  version 2.16.281 ) which lets you share the link directly using a QR code or NFC tag in this new beta changes. The admin can later revoke a link ultimately denying ability for anyone to join the chat.  To try it out, go to add a new participant to your chat goup, you will have a new "invite to group via link" option at the top of your contacts list. Tap on it to open a new screen with the unique link to your chat, which you can share via WhatsApp or copy & share using another app, or revoke.

MAGAZETI YA LEO JUMATANO

Image