AUDIO: Brand New audio Kutoka kwa : Peter Msechu Ft Amini inaitwa"Nyota"

Peter Msechu amerejea tena akiwa na Amini safari hii na single mpya "Nyota"
Licha ya kukaa mda mrefu bila kutoa ngoma, Peter bila ya kusita amefanya kazi hii na producer mdogo ambae ndio anachipukia Amiz, ambae yupo C9 Records.


"Nilimwambia kabisa toka Fiesta nikamwambia kwamba mimi Amini ukipanda stejini naskia raha sana, kuliko sijui ninavyojiskia, kwahiyo alivyokuja nikamwambia Amini nimeshafanya ngoma nyingi sana lakini Ok zina bahatika zinafanya vizuri zingine hazifanyi vizuri mi nafikiri nikifanya na wewe kuna kitu kingine kitatokea kikubwa sana, kwahiyo imetokea bahati tukaitana tukakaa studio, hii nyimbo tumeanza kuandika na amini tumekaa chini tumechora kimoja baada ya kingine, na Amini ame play part kubwa sana kwenye hii nyimbo, na ndio maana nikasema hapana unastahili kuanza hii nyimbo"

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA