Posts

Showing posts with the label DOWNLOAD

NEW AUDIO: SIKILIZA NEW HIT SONG YA SONGA MTAMADUN " NINAPOTOKA"

NEW SONG: DOWNLOAD NA SIKILIZA WIMBO UNAITWA "HELLOW" WA DR KAIS FT JAXFLUX

Image
Wimbo unaenda kwa jina la "hellow" umeimbwa na Dr Kais anayeonekana kwenye picha akimshirikisha Jaxflux, wimbo umetengenezwa katika studio za Creativity Music Sound chini ya producer Divai, studio hii inapatikana Musoma, kwa taarifa zaidi unaweza kumpigia kwa namba hii 0758016717. Download na kusikiliza pia unaweza kumtumia na rafiki yako whatsapp. Anapatikana pia facebook kupitia account hii   https://www.facebook.com/kasim.kais

NEW MUSIC:SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO MPYA WA MAVOLUME FT DIVAI "MAPENZI SIASA"

Image
One of the best song ambayo naitamani kuisikiliza kila mara kutoka kwa msanii "Mavolume" inayokwenda kwa jina la "Mapenzi Siasa" wimbo huu ameuachia rasmi leo katika vyombo vya habari. Wimbo huu amemshirikisha producer wake anayeitwa Divai anayepatikana katika studio ya Creativity Music Sound inayopatikana katika Mji wa Musoma. Nyimbo hii naifanya kuwa best kwa sababu ya mpangilio wa Beat, sauti na ujumbe uliobebwa katika nyimbo hii na flow za taratibu kutoka kwa Mavolume, Lets Join our hands together kwa kumsupport Mavolume, unaweza kumtumia ujumbe wowote kupitia account yake ya facebook kwa kubofya hapa chini. Frank Revocatus aka Mavolume

NEW SONG: DOWNLOAD NA KUSIKILIZA TEAM SHAROBARO - ALELE

BRAND NEW: SIKILIZA NA KUDOWNLOAD NYIMBO MPYA YA IZZO BIZNESS - "Walala Hoi"

Image
Walala Hoi ndo jina la wimbo kutoka kwa Izzo Bizness, Produced Duppy [Switch records]  WALALA HOI lyrics  Intro: Walala hoi…Walala hoi…Walala hoi  Chorus:  Walala hoi sisi ndio Walala hoi (Walala hoi) x 4 moja haikai mbili haikai mbaya wako ni jirani babu (Walala hoi) x 4  Verse 1: Tunaunga unga maisha yetu ni safari bado tunataabika (Walala hoi) / tunakomaa maisha ni safari imani ipo bado sisi mbali tutafika (Walala hoi) / tumazaliwa kwenye njaa njaa imetulea sisi home mali hatujakuta (Walala hoi) / mama Yanga baba Simba upinzani babu ndani yani kila dakika (Walala hoi) / kupinda ni sheria usishangae huku kwetu mbona imeshazoeleka (Walala hoi) / hatujasoma dili chafu leta pesa babu hata iwe dili ya kuteka (Walala hoi) / tunaonekana hatuna maana tunatengwa kona zote twa dharaulika / majina yote sisi Vidampa wapumbavu wezi majambazi yote wametupachika / Rhumba kali wewe utadata/ soma pata ondoa shaka/ faster umenipata chafu tatu maisha karata

MUSIC: Download na Kusikiliza wimbo wa Nikki Mbishi - "Yote Sawa"

[New Music] Sam wa ukweli ft Rich Mavoko & Zed Anto – Ameshaolewa

DOWNLOAD NA KUSIKILIZA WIMBO MPYA WA MALFRED- "PIGANA"

TANGAZO KUTOKA BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA

Katibu Mtendaji Baraza la Mitihani la Tanzania anapenda kuwatangazia watu  wote wanaotaka kufanya Mtihani wa Kidato cha Sita (ACSEE) mwezi, Mei 2014 kama Watahiniwa wa Kujitegemea kwamba kipindi cha usajili kitaanza  rasmi tarehe 1 Julai, 2013 kwa ada ya Shilingi 35,000/=. Kipindi cha malipo  bila adhabu kitaishia tarehe 31 Agosti, 2013. Kuanzia tarehe 1 Septemba, 2013 hadi tarehe 30 Septemba, 2013 waombaji watajisajili kwa ada ya  Shilingi 50,000/- (ada pamoja na faini). Waombaji wote watajisajili kwa njia ya mtandao kupitia tovuti: www.necta.go.tz. ya Baraza la Mitihani la Tanzania. Kabla ya kujisajili  kwenye mtandao waombaji watapaswa kwenda kwenye vituo vya mitihani  kuchukua namba rejea (reference number) watakazotumia kujisajili.  Hakuna  mtahiniwa atakayeweza kujisajili bila kupata namba rejea kutoka katika kituo  anachokusudia kufanyia Mtihani. Wakuu wote wa vituo nchini watakabidhiwa  namba rejea hizo kabla ya muda wa usajili kuanza na watazig