NEW SONG: DOWNLOAD NA SIKILIZA WIMBO UNAITWA "HELLOW" WA DR KAIS FT JAXFLUX



Wimbo unaenda kwa jina la "hellow" umeimbwa na Dr Kais anayeonekana kwenye picha akimshirikisha Jaxflux, wimbo umetengenezwa katika studio za Creativity Music Sound chini ya producer Divai, studio hii inapatikana Musoma, kwa taarifa zaidi unaweza kumpigia kwa namba hii 0758016717. Download na kusikiliza pia unaweza kumtumia na rafiki yako whatsapp. Anapatikana pia facebook kupitia account hii  
https://www.facebook.com/kasim.kais

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA