NEW MUSIC:SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO MPYA WA MAVOLUME FT DIVAI "MAPENZI SIASA"

One of the best song ambayo naitamani kuisikiliza kila mara kutoka kwa msanii "Mavolume" inayokwenda kwa jina la "Mapenzi Siasa" wimbo huu ameuachia rasmi leo katika vyombo vya habari.

Wimbo huu amemshirikisha producer wake anayeitwa Divai anayepatikana katika studio ya Creativity Music Sound inayopatikana katika Mji wa Musoma.

Nyimbo hii naifanya kuwa best kwa sababu ya mpangilio wa Beat, sauti na ujumbe uliobebwa katika nyimbo hii na flow za taratibu kutoka kwa Mavolume, Lets Join our hands together kwa kumsupport Mavolume, unaweza kumtumia ujumbe wowote kupitia account yake ya facebook kwa kubofya hapa chini.
Frank Revocatus aka Mavolume

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA