Posts

Showing posts with the label Entertainment

ARSENAL KUMSAJILI KIPA WA CHELSEA

Image
KIpa wa Chelsea Petr Cech Arsenal wanakaribia kuweka makubaliano ya kumsajili kipa wa Chelsea Petr Cech. Mazungumzo kati ya vilabu hivyo viwili yanaendelea huku kipa huyo akitarajiwa kuwa mchezaji wa kwanza atakayesajiliwa na Arsenal msimu ujao. Raia huyo wa Cech aliichezea Chelsea mechi 16 msimu uliopita na amekuwa katika uwanja wa Stanford Bridge kwa takriban miaka 11. Ameichezea Chelsea mara 300 na kushinda mataji 4 ya ligi,4 ya kombe la FA,mataji 3 ya kombe la ligi ,taji moja la vilabu bingwa Ulaya na taji moja la kombe la Yuropa. CHANZO:BBC  (Muro)

TARAJI .P. HENSON ALITISHA KWA MUONEKANO KATIKA TUZO TA BILLIBOARD AWARD

Image
Taraji amejizolea umaarufu mkubwa katika series ya "Empire" ambayo imetoka mwaka huu na kutokea kupendwa na watu wengi kulingana na content yake though kuna mambo mengine ambayo kwa mila na desturi za kiafrika hazikubaliani nazo kama usagaji na ushoga. Tuzo hizi zimefanyika mwishoni mwa wiki iliyopita, hapa taraji akipata katika red carpet Email This BlogThis! Share to Twitter Share to Facebook

NEW VIDEO: CHENGE-"MWANANYAMALA"

Image
Msanii wa kundi la TMK Wanaume Family, Chege Chigunda a.k.a mtoto wa mama Saidi ametoa video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Mwananyamala’. Video hii imefanywa na Adam Juma. Itazame hapa.  

Ngassa asaini miaka 4 FREE STATE, Alamba $80,000,Mshahara $5,600, Nyumba Gari Bure

Image
  Mrisho Ngassa ametua zake Free State Star ya Afrika Kusini na kupokelewa kwa shangwe. Mmoja wa waliompokea ndani ya aneo la Bethlehem ni Kocha Kina Phiri, mshambuliaji wa zamani nyota wa Malawi Ngassa amejiunga na Free State Star akitokea Yanga ambayo ameichezea kwa mafanikio makubwa. Ngassa ameiambia SALEHJEMBE kutoka Afrika Kusini kuwa mambo yanakwenda vizuri. “Lakini ningependa nimalize mambo kadhaa muhimu hapa halafu tutazungumza,” alisema mtoto huyo wa mshambuliaji nyota wa zamani wa Pamba ya Mwanza na Simba, Khalfan Ngassa

BARCELONA YATINGA FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA

Image
Neymar, Luis Suarez na Lionel Messi wakishangilia bao. BARCELONA imefanikiwa kufuzu hatua ya fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya licha ya kufungwa mabao 3-2 na Bayern Munich usiku wa jana jijini Munich nchini Ujerumani. Thomas Muller akiifungia Bayern bao la tatu usiku huu. Barcelona imefuzu kwa jumla ya mabao 5-3 baada ya kupata ushindi wa 3-0 katika mechi yao ya kwanza ya nusu fainali dhidi ya Bayern huko Hispania. Gerard Pique akikwaana na starika wa Bayern, Robert Lewandowski, aliyekuwa amevaa mask baada ya kuvunjika pua yake. Mabao yote mawili ya Barcelona yamefungwa na Neymar 15, 29 huku ya Bayern yakifungwa na Benatia 7, Lewandowski 59, Muller 74. Kwa matokeo hayo Barcelona wanasubiri kucheza fainali Juni 6, mwaka huu na mshindi wa mechi kati ya Real Madrid na Juventus

NEW VIDEO: Young Killer "Mungu Baba" Official Video Ft. Linah | Ommy Dimpoz | Roma

Image
Erick Msodoki aka Young Killer ameachia video mpya ya wimbo wa "Mungu baba" audio ya wimbo huu ilitoka mwaka 2014 ambapo alimshirikisha msanii "Maulo"aliyeishambulia chorus kwa ustadi mkubwa,katika video hii kuna baadhi ya  wasanii wameongezwa kama Linah akishambulia chorus iliyofanywa na Maulo pia yupo mkali wa Wanjera, "Ommy Dimpoz" na Roma. Video imeongozwa na Director Khalifan Khalmandro

ZAIDI YA KUFURU,SHUHUDIA UTAJIRI WA MYWEATHER!!,ANAMILIKI NDEGE NA MAGARI YA GHARAMA KUBWA

Image
. Floyd Mayweather Jr. is the highest-earning athlete in the world. When all is said and done,  he'll likely earn $80 million  from the Canelo Alvarez fight alone. Unlike other super-rich athletes like Tiger Woods and Tom Brady, Floyd is not afraid to flaunt his wealth. He posts photos of himself and his money (literally, stacks of money) all the time, and they are unreal.

USHINDI WA MAYWEATHER THE SUPER STAR 50CENT NA DAVIDO WAFANYA BONGE LA SHOW VEGAS

Image
Ni baada ya mpambano wa Floyd Mayweather kuisha nakutoka na ushindi bata likaendelea na msanii wa nigeria Davido akiwa moja ya watumbuizaji live.

PICHA: MAMBO YALIVYOKUWA MLIMANI CITY, KWENYE ZARI ALL WHITE PARTY

Image
         TID DC MAKONDA  From the red carpet highs and lows...to the amazing performances by Yamoto Band,Weusi,AK,Eric Omondi and Diamond himself...the event did set a new bar very high!  And for the first time in an event,I saw kumbe Tanzanians can follow dress codes?!! It was an All White affair,indeed

Majina wasanii watakaowania tuzo za KTMA mwaka huu

Image
1. MTUMBUIZAJI BORA WA MUZIKI WA MWAKA- KIUME 1 MZEE YUSSUF 2 CHRISTIAN BELLA 3 DIAMOND PLANUMZ 4 ALLY KIBA 5 NYOSHI EL SAADAT 2.MTUMBUIZAJI BORA WA MUZIKI WA MWAKA- KIKE 1 VANESSA MDEE 2 KHADIJA KOPA 3 ISHA MASHAUZI 4 SHAA 5 DAYNA NYANGE 3.MWIMBAJI BORA WA KIUME- TAARAB 1 MZEE YUSSUF 2 PRINCE AMIGO 3 HASSAN VOCHA 4 HASSAN ALLY 5 MUSSA KIJOTI 4. MWIMBAJI BORA WA KIUME- BONGO FLEVA 1 ALI KIBA 2 BEN POL 3 JUX 4 DIAMOND 5 BELLE 9 5.MWIMBAJI BORA WA KIUME- BENDI 1 JOSE MARA 2 KALALA JUNIOR 3 KHALIDI CHOKORAA 4 CHAZ BABA 5 NYOSHI EL SADAT 6.MWIMBAJI BORA WA KIKE- TAARAB 1 KHADIJA KOPA 2 ISHA MASHAUZI 3 HADIJA YUSSUF 4 LEIYLA RASHID 5 FATUMA NYORO 7.MWIMBAJI BORA WA KIKE – BONGO FLEVA 1.LADY JAY DEE 2.VANESSA MDEE 3.LINAH 4.GRACE MATATA 5.MALAIKA 9.WIMBO BORA WA TAARAB 1 HASID HANA SABABU-HADIJA YUSSUF 2 LADY WITH A CONFIDENCE-KHADIJA KOPA 3 CHOZI LA MAMA-MZEE YUSUPH 4 FANYA YAKO-LEYLA RASHID 5 MAPENZI HAYANA DHAMANA-ISHA MASHAUZI 10.WIMBO BORA WA MWAKA 1 MWANA -ALI KIBA 2

EVERTON 3-0 MANCHESTER UNITED

Image
    Kevin Mirallas akiifungia Everton bao la tatu dhidi ya Manchester United.   James McCarthy (kushoto) akishangilia na Romelu Lukaku  baada ya kuifungia Everton bao la kwanza.   John Stonesakiifungia Everton bao la pilikwa kichwa. Everton wametoka kifua mbele kwa mabao 3-0 dhidi ya Manchester United katika mechi ya Ligi Kuu ya England iliyopigwa kwenye Uwanja wa Goodison Park. Mabao ya Everton yamefungwa na J.McCarthy dakika ya 5 na J. Stones dakika ya 35 ya kipindi cha kwanza na  K. Mirallas dakika ya 74 kipindi cha pili. Vikosi:   Everton: Howard, Baines, Stones, Jagielka, Coleman, Barry, McCarthy, Osman, Barkley, Lennon, Lukaku Everton walio benchi:  Joel, Kone, Mirallas, Naismith, Besic, Garbutt, Alcaraz Manchester United:  De Gea, Valencia, Smalling, McNair, Shaw, Blind, Herrera, Mata, Fellaini, Young, Rooney  Man Utd walio benchi:  Valdes, Di Maria, Falcao, Januzaj, Van Persie, Blackett, Pereira

WATCH NEW VIDEO: Joh Makini - Nusu Nusu

Image

Majina yatakayowania Tuzo za Watu 2015 haya hapa

Image
Mtangazaji wa redio anayependwa TZW1          Dida – Times FM D’Jaro Arungu – TBC FM Diva – Clouds FM Mariam Kitosi – Times FM Millard Ayo – Clouds FM Kipindi cha redio kinachopendwa TZW2 Ala     za Roho – Clouds FM Amplifaya – Clouds FM Hatua Tatu – Times FM Papaso – TBC FM XXL – Clouds FM Mtangazaji wa runinga anayependwa TZW3      Abdallah ‘Dullah’ Ambua – EATV   Salama Jabir – EATV/Maisha Magic Salim Kikeke – BBC Swahili Sam  Misago – EATV Zamaradi Mketema – Clouds TV Kipindi cha runinga kinachopendwa TZW4 Friday Night Live – EATV In My Shoes – EATV Mkasi – EATV Planet Bongo – EATV Take  One – Clouds TV Blog/Website inayopendwa TZW5 djchokamusic.com issamichuzi.blogspot.com jamiiforums.com millardayo.com timesfm.co.tz Muongozaji wa video anayependwa TZW6 Abby Kazi Adam Juma Khalfan Hanscana Nisher Muongozaji wa filamu anayependwa TZW7 Jacob ‘JB’  Stephen Leah Mwendamsoke Timothy  Conrad Vincent ‘