TARAJI .P. HENSON ALITISHA KWA MUONEKANO KATIKA TUZO TA BILLIBOARD AWARD

Taraji amejizolea umaarufu mkubwa katika series ya "Empire" ambayo imetoka mwaka huu na kutokea kupendwa na watu wengi kulingana na content yake though kuna mambo mengine ambayo kwa mila na desturi za kiafrika hazikubaliani nazo kama usagaji na ushoga.

Tuzo hizi zimefanyika mwishoni mwa wiki iliyopita, hapa taraji akipata katika red carpet

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA