Posts

Showing posts with the label NEWS

Kurasa za mbele na nyuma za baadhi ya magazeti ya Tanzania leo Agosti 17, 2016

Image

Taarifa ya NHIF ya utaratibu sahihi wa kuandikisha wanachama

Image

Mandhari inayozunguka uwanja wa Taifa, Dar es Salaam...

Image
Licha ya kujengwa uwanja mzuri wa soka wa kisasa wenye hadhi ya kimataifa, matunzo ya uwanja huo yamekuwa hafifu. Minazi iliyofanya mandhari ya uwanja huo kupendeza na kuvutia sasa hivi ni tofauti kwani ni hafifu hasa eneo la nje la maegesho ya magari ambapo awali palikuwa na nyasi zinazovutia na miti. Nyasi zimekauka, minazi nayo imekauka na kung'olewa kabisa. Kwenye nyasi hizi ndipo panakoegeshwa magari. Kwa kutumia miundombinu ya maji iliyopo uwanjani hapo, nyasi hizo zingeweza kustawi na kupendezesha eneo la nje. Moja ya mabomba ya maji ambayo yametengenezwa kwa ajili ya kujazia maji magari ya zima-moto ambayo yangeweza pia kutumika kumwagilia maua na nyasi katika eneo hilo. Maeneo ya kupandia minazi ya urembo  Moja ya mabomba ya maji ambayo yametengenezwa kwa ajili ya kujazia maji magari ya zima-moto ambayo yangeweza pia kutumika kumwagilia maua na nyasi katika eneo hilo. Picha na maelezo kutoka blogu ya  Father Kidevu

Call for applications: Queen’s Young Leaders Award

Image
The Queen’s Young leader award recognises and celebrates exceptional people aged between 18 – 29 from across the Commonwealth who are taking lead in their communities and using their skills to transform live. Winners of this prestigious Award will receive a unique package of training, mentoring and networking, including a one-week residential programme in the UK during which they will collect their Award from Her Majesty The Queen. With this support, Award winners will be expected to continue and develop the amazing work they are already doing in their communities. Applications are now open. Apply now for this once in a lifetime opportunity ( www.QueensYoungLeaders.com )

JPM AHUTUBIA MAENEO MBALIMBALI AKIWA NJIANI KUELEKEA MWANZA MJINI

Image
Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wakazi wa Mkuyuni na Butimba jijini Mwanza  wakati akitokea Wilayani Sengerema. PICHA NA IKULU Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi mbalimbali wa Mwanza mara baada ya kuwasili katikati ya jiji la Mwanza. Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi mbalimbali wa Mwanza mara baada ya kuwasili katikati ya jiji la Mwanza. Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi mbalimbali wa Nyegezi stand jijini Mwanza wakati akitokea Wilayani Sengerema. Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi mbalimbali wa Nyegezi stand jijini Mwanza wakati akitokea Wilayani Sengerema. Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia wananchi mbalimbali wa Kigongo mara baada ya kuvuka upande wa pili kutoke

Taarifa kutoka HESLB: Ofisi zitakuwa wazi Jumamosi na Jumapili hii

Taarifa kutoka HESLB: Ofisi zitakuwa wazi Jumamosi na Jumapili hii BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU TAARIFA KWA UMMA OFISI ZA BODI YA MIKOPO KUWA WAZI KESHO JUMAMOSI NA JUMAPILI Bodi ya Mikopo inapenda kuwataarifu wadaiwa wote waliopo Dar es Salaam kuwa Ofisi za Bodi zitakuwa wazi kwa siku mbili za kesho, Jumamosi, Julai 30, 2016 na Jumapili, Julai 31, 2016 kuanzia saa 3:00 asubuhi hadi saa 9:00 mchana ili kutoa huduma mbalimbali ikiwemo kuwasiliza wadaiwa. Hii ni fursa muhimu kwa wadaiwa wote wa mikopo ya elimu ya juu ambao hawajaanza kulipa mikopo kupata taarifa kuhusu madeni yao. Bodi ya Mikopo inatarajia kuanza kuwachukulia hatua za kisheria wadaiwa wote ambao hawataanza kulipa madeni yao mara moja. Hatua hizo ni pamoja na: i. Kufikishwa mahakamani; ii. Kutozwa faini; iii. Kunyimwa fursa za kupata mikopo; iv. Kunyimwa fursa za masomo nje ya nchi; na v. Kuzuiwa kusafiri nje ya nchi. Nyote mnakaribishwa ili kutumia fursa hii muhimu. Imetolewa na: Bw. Jerry Sa

Ndugu wa mtanzania aliyekamatwa kwa unga Pakistan wazungumza

Image
Baada ya wiki hii katika mitandao ya kijamii kusambaa video inayomuonyesha kijana mtanzania anayedaiwa kuwekwa rehani nchini Pakistan kutokana biashara ya unga, ndugu wa kijana huyo anayetambulika kwa jina la ‘Adamu Akida’ wamezungumza. Akiongea na gazeti la Mtanzania kaka wa Adamu aliyejitambulisha kwa jina la Hemed Abdallah (si jina lake halisi) alisema miezi minane iliyopita, Adamu alikwenda kwa kaka yake ambaye ni mtoto wa mama yake mdogo aliyetambulika kwa jina la Juma, na kuomba msaada wa mtaji kwani kazi yake ya kinyozi haikuwa ikilipa na hali ya maisha ilikuwa ngumu. Alisema baada ya kueleza shida yake hiyo, kaka yake huyo (Juma) alimuhoji kama yupo tayari kwa ajili ya kutafuta maisha nje ya nchi, na Adamu alikubali kufanya kazi ya aina yoyote ili mradi aweze kupata pesa. “Adamu kwa sasa ameshikiliwa kwa muda wa miezi minane, hatujui kama alikuwa ameingia katika janga hili hadi pale tulipoona video zake katika mitandao ya kijamii. Hapa aliyepo ni baba yake mdo

MAGAZETI YA LEO JUMANNE

Image

VIONGOZI WA AFRIKA WASHINDWA KUMCHAGUA MWENYEKITI MPYA WA TUME YA AU

Image
Mkutano Mkuu wa viongozi wa Afrika jijini Kigali nchini Rwanda Viongozi wa mataifa ya Afrika wameshindwa kumchagua Mwenyekiti mpya wa Tume ya Umoja huo katika mkutano ya viongozi hao jijini Kigali nchini Rwanda. Hii inamaana kuwa Mwenyekiti wa sasa Nkosazana Dlamini-Zuma ambaye alikuwa ametangaza kutowania tena wadhifa huo ataendelea kuongoza hadi mwezi Januari mwaka ujao wakati uchaguzi mwingine utakapofanyika. Msemaji wa Dlamini Zuma, Jacob Enoh Eben kupitia ukurasa wake wa Twitter amesema baada ya mzunguko wa kwanza wa upigaji kura na kubainika kuwa hakuna mgombea aliyepata theluthi mbili ya kura ili kupata mshindi huku mataifa 28 kati ya 54 yakisusia zoezi hilo la kupiga kura. Kulikuwa na wagombea watatu, aliyekuwa Makamu wa rais wa Uganda Specioza Wandira Kazibwe, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya nje wa Bostwana Pelonomi Venson-Moitoi na Agapito Mba Mokuy ambaye pia alikuwa Waziri wa zamani wa Mambo ya nje ya Equatorial Guinea. Wiki iliyopita, kulikuwa na wasiwasi ikiwa

ABIRIA WASHAMBULIWA KWENYE TRENI UJERUMANI

Image
Mshambuliaji aliuawa alipokuwa akikimbia baada ya kutekeleza tukio hilo Mtu mmoja aliyekuwa na Kisu na Shoka amewashambulia abiria waliokuwa kwenye Treni Kusini mwa Ujerumani usiku wa jumatatu na kuwajeruhi watu wanne kabla yeye kupigwa risasi na Polisi na kufa alipokuwa akikimbia baada ya tukio hilo. Polisi wa mjini Wuerzburg wameeleza kwenye ukurasa wao wa Facebook kuwa abiria watatu wamejeruhiwa vibaya na wengine 14 wanapata msaada wa kitabibu kutokana mshtuko walioupata. Polisi wamesema bado hakuna taarifa yeyote kuhusu sababu ya kutekelezwa kwa shambulio hilo. vyombo vya habari vya Ujerumani vimemnukuu msemaji wa wizara ya mambo ya ndani mjini Bavaria kuwa mtu huyo ni mvulana wa miaka 17, mkimbizi mwenye asili ya Afghanistan. Mwaka jana Ujerumani iliwaandikisha wahamiaji milioni moja waliokuwa wakiingia nchini humo, zaidi ya 150,000 raia wa Afghanistan. Tangu mashambulizi ya hivi karibuni ya wanamgambo wa kiislamu nchini Ufaransa, kumekuwa na hali ya hofu ya kut

MAREKANI: POLISI WATATU WAUAWA KWA RISASI BATON ROUGE

Image
Polisi yazuia barabara baada ya mauaji ya askari polisi katika mji wa Baton Rouge, mji mkuu wa jimbo la Louisiana, Julai 17, 2016. Kwa mujibu wa vyombo vya habari vikinukuu ofisi ya meya, maafisa watatu wa polisi - ikiwa ni pamoja na maafisa wawili wa polisi na mwengine mwenye cheo cha juu - wameuawa kwa risasi katika mji wa Baton Rouge, katika jimbo la Louisiana. Askari polisi angalau saba walikuwa wamelengwa kwa risasi. Katika mji huu, kifo cha kijana mmoja mweusi aliyeuawa kwa risasi na polisi mapema Julai mwaka huu kilizua wimbi la hasira na maandamano nchini Marekani hasa katika jimbo hilo la Louisiana. Kwa mujibu wa kituo cha habari cha WAFB9, askari polisi wawili wameuawa lakini "angalau askari polisi 7 " walikuwa wamelengwa kwa risasi. Televisheni ya taifa ya CBS imetaja idadi hiyo, ikimnukuu afisa mmoja wa polisi katika mji wa Baton Rouge. askari polisi waliojeruhiwa wamesafirishwa hospitalini lakini hali inaonekana kudhibitiwa, kwa mujibu wa msemaji w

WANANCHI WA WILAYA YA UBUNGO WAKO MBIONI KUSOGEZEWA HUDUMA

Image
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mhe. Boniface Jacob akisalimiana na Mkuu wa Wialaya ya Ubungo Mhe. Humphrey Polepole alipokaribishwa katika Baraza la Madiwani wa Manispaa ya Kinondoni jana Jijini Dar es Salaam. Polepole amekaribishwa ili apate fursa ya kutambulishwa kwa Madiwani ambao kwa namna moja au nyingine atakuwa akifanya kazi nao kwa kuwa Wilaya yake imetokana na Manispaa hiyo. Frank Shija,MAELEZO Mchakato wa kukamilisha taratibu za kuanza rasmi kwa shughuli za kiutendaji kwa Ofisi za Mkuu wa wilaya na Manispaa ya Ubongo uhuko mbio kukamilika. Kauli hiyo imetolewa na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kindondoni ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Ubungo Mhe. Boniface Jacob wakati wa Kikao cha Baraza la Madiwani jana jijini Dar es Salaam. Mhe. Jacob amesema kuwa amearifiwa kuwa taratibu za kugawa rasilimali zimekamilika kinachosubiriwa tu ni kukamilika kwa suala la upatikanaji wa majengo ya Ofisi ambayo nayo yako mbioni kupatikana. Jacob aliongeza kuwa kukamilika kwa m

Magazeti ya Leo Jumatatu, Julai 11

Image