Posts

happy birthday mimi..................

Image
Najipongeza mimi mwenyewe kwa kutimiza miaka 26 leo Tarehe 27/7, namwomba mwenyezi Mungu aweze kunisaidia kutimiza malengo yangu! Happy birthday Nyanja Kelvin Poti

MUSIC PRODUCTION SCHOOL

Image
Kama ni producer unahitaji kuongeza ujuzi zaidi au ni unatamani kuwa producer na haujui pakujifunza sasa shule ndiyo hii

THT Artists join Usher Raymond in Atlanta.

Image
Usher's New Look Foundation, established in 1999 has invited THT artists to join him at the World Leadership Conference and Awards in Atlanta this week. Mwasiti, Amini, Barnaba, Linah, Ditto & Keyboard player Mose Delema will be flying to the United States to join him at the World Conference where they will perform on stage with one of their most popular icons Usher Reymond. Usher’s team has invited the THT Artists to participate in a 4-day conference that includes sharing experiences, discussing local, national and global issues, working together in an international choir featuring a solo performance by Usher as well as performing their own songs during the Awards Night. Traveling with Ruge Mutahaba the Founder of Tanzania House of Talent and B12 popular Radio presenter from Clouds Fm, Ruge Mutahaba says ‘The artists have been given an amazing opportunity to travel to Atlanta to participate not only with an international artist for the Awards...

ZAIDI YA WANAFUNZI 3000 T ARIME WANAKAA CHINI

zaidi ya wanafunzi 3000 Inakadiriwa kuwa wanakaa katika shule nne tofauti zinazozunguka mgodi wa dhahabu wa North Mara wakati wa vipindi kutokana na uhaba wa madawati katika shule zao Hali hiyo imebanika baada ya waandishi wa habari kutembelea baadhi shule na kushuhudia sehemu ya wanafunzi wakiwa wameketi chini ya vumbi wakati vipindi vinaendelea. aidha shule ambazo inasemekana bado asilimia kubwa ya wanafunzi wanakaa chini ni shule ya ya Nyakunguru A, Nyakunguru B, Nyamongo na Nyangoto. katika shule ya msingi Nyakunguru A mwalimu mkuu Msaidizi wa shule hiyo Otaigo Machera amesema kuwa Shule hiyo ina jumla ya wanafunzi 668 ina madawati 80 ambapo Taarifa zinasema hali ni mbaya katika shule ya jirani. AMESEMA SHULE HIYO ILIYOANZISHWA MWAKA 1958 LAKINI MPAKA SASA BADO HALI INAONEKANA KUWA MBAYA ZAIDI KATIKA SHULE HIYO AMBAYO PIA AFISA ELIMU WA WILAYA HIYO ALISOMA KATIKA SHULE HIYO. Katika shule hizo majengo yanaonesha kuchAkAa na hayatumiki kiasi kwamba yana...

LUDACRIS KUPAGAWISHA MASHABIKI WA FIESTA 2011 DAR

Image
Mwanamuziki mahiri wa miondoko ya Hip hop ambaye pia ni muigizaji wa Filamu kutoka nchini Marekani ajulikanae kwa jina la Christopher Brian Bridges aliyezaliwa mnamo Septemba 11, 1977,ambaye pia anajulikana zaidi kwa jina la kisanii kama Ludacris, anatarajiwa kushuka nchini Tanzania na kuangusha bonge la shoo kwenye tamasha la miaka kumi ya msimu wa dhahabu unaoendelea na serengeti Fiesta 2011.Akizungumza na kuthibitisha ujio wa Mwanamuziki huyo mapema leo asubuhi jijini Dar,Mkurugenzi wa Maendeleo na Utafiti wa Clouds Media Group,Ruge Mutahaba amesema kuwa,Mwanamuziki Ludacriss na mwanamuziki mwingine wa kimataifa… Mwanamuziki mahiri wa miondoko ya Hip hop ambaye pia ni muigizaji wa Filamu kutoka nchini Marekani ajulikanae kwa jina la Christopher Brian Bridges aliyezaliwa mnamo Septemba 11, 1977,ambaye pia anajulikana zaidi kwa jina la kisanii kama Ludacris, anatarajiwa kushuka nchini Tanzania na kuangusha bonge la shoo kwenye tamasha la miaka kumi ya msimu wa dhahabu unaoendelea na s...

VURUGU ZA MACHINGA ZASABABISHA MAUAJI MWANZA RISASI ZARINDIMA WATANZANIA WENYE ASILI YA ASIA WAPATA MISUKOSUKO

Image
Leo kuanzia majira ya saa 3:10 asubuhi kumezuka vurugu jijini Mwanza kati ya wafanyabiashara ndogondogo al-maarufu kama Wamachinga na Jeshi la Polisi Mwanza kwa wafanyabiashara hao kudai kufukuzwa eneo lao la biashara tofauti na makubaliano, hali iliyosababisha watu kaadhaa kujeruhiwa na wengine watatu kuhofiwa kupoteza maisha. Kamanda Sirro akielekea eneo la tukio kutoa amri ambayo kwa kiasi ilirejesha amani. Magari mawili ya mfanyabiashara maarufu mkoani hapa Mukeshi vunja bei yamechomwa moto na kuteketea, vibanda kadhaa vimevunjwa, Baadhi ya bidhaa zilizopangwa nje zimeibiwa nayo matairi yamechomwa katikati ya njia panda kuingia mtaa wa Makoroboi kuelekea Soko kuu na kiunganishi cha barabara ya Lumumba Mwanza huku baadhi ya wamachinga hao wakirusha maboksi yaliyoshika moto kwenye majengo yaliyo karibu na eneo hilo kwa nia ya kuyachoma moto. Friji ikiteketea.. Vibaka wamepora bidhaa na mali zilizokuwa nje ya Nono Super market nakisha kuchoma friji ilokuwa na vinywaj...

MDAU NAWE TOA COMMENTS ZAKO

Image
Katika pita pita zangu kwenye mtandao wa kijamii facebook nikakutana na status ya rafiki yangu Augustino Masangia Tinorito Masangia HELP: haya watoto wa olympio, watoto mliopanda "school bus", dady im going, watoto wa wataalam wa Lugha na hata ndugu zangu wa HKL "tho mlisoma englis mmesha komaa" hahahahha kidn naombeni msaada hapa: SWALI: "HUYU NI MTOTO WAKO WANGAPI" weka hii sentensi kwa kingereza. Tuni Biboze Huyuz niz mtotoz wakoz wangapiz? Nimepatia ama? Yesterday at 11:28 · Like Unlike · 3 people 3 people like this. Sarah Samson Du bora umeokoa jahazi,maana m2 mzima nimechemka@Tuni Yesterday at 11:31 · Like Unlike Tuni Biboze Whahahahahahahahahah sante@Sarah Yesterday at 11:34 · Like Unlike Qal Bin Nayeer Hahahah ennglish rythm daznt match na kiswahili kuna jinsi tofauti ya kuuliza ila hahahah hili swali lilinishinda toka niko o level Yesterday at 11:39 · Like Unlike Johnie Mathew Kibassa ‎"What line born is this child? " ...