Hilda Edward ndiye Miss Dar Inter College 2012
Miss Dar Inter College 2012, Hilda Edward akipongezwa baada ya kushinda kwenye shindano hilo lililofanyika kwenye ukumbi wa Makumbusho, katikati ya Jiji la Dar es Salaam usiku huu. Hapa Hilda akipigana busu moto moto la pongezi na Miss Dar Inter College aliyevua taji Blessing Ngowi. Picha kwa hisani ya http://bongostaz.blogspot.com/ Hii ndiyo tano bora Kutoka kulia Veronica Yole, Sada Suleiman, Rose Muchunguzi, Jamila Hassan na Hilda Edward DIAMOND PLATINUM; Nassib Abdul akitumbuiza kwa hisia, kibao Wema Wangu mbele ya jaji Wema Sepetu, ilikuwa tamuuu INAUMA UCHUNGU; Katikati Jaji Wema akifuatilia kwa hisia zote kibao Wema Wangu wakati Diamond the Platinum anatumbuiza...