Posts

DOWNLOAD NA SIKILIZA Becka Title ft.Mirror Blue-Usiku Wa Leo.[Prod.Teaz Villah Kita]

BINADAMU MWENYE UMRI MKUBWA DUNIANI AMEFARIKI AKIWA NA MIAKA 116

Image
Jiroemon Kimura wa Japan  ndiye binadamu  aliyeaminika kuwa ana umri mkubwa kuliko  yeyote duniani,amekufa akiwa na mri wa miaka 116 Aliwahi kuulizwa ni  nini siri ya mafanikio yake raia huyo wa Japan alisema ni kula chakula kidogo au kwa kiasi . Kwa mujibu wa kitabu cha Guinness ni mtu wa kwanza kufariki akiwa na umri wa miaka 116. Sasa binadamu mwenye umri mkubwa kuliko wote ni raia mwingine wa Japan Misao Okawa, wa Osaka. Jiroemon Kimura alizaliwa 19 april 1897 na  amefariki 11 june 2013.

SIKILIZA NA DOWNLOAD NYIMBO MPYA YA LADY JAY DEE...."YAHAYA"

HII NDO LIST NZIMA YA WASHINDI WA TUZO ZA KILLLIMANJARO MUSIC AWARDS- 2013

Image
Usiku wa tuzo za KTMA ulipambwa na burudani ya aina yake kutoka kwa wasanii mbalimbali wakiwemo Linah, Amini, Richie Mavoko, Mataluma, Hussein Jumbe, Zahir Zorro, Patricia Hillary na Barnaba. Wengine ni Snura, Godzilla, Mabeste, Madee na Afande Sele. Host wa tuzo hizo mwaka huu alikuwa ni Zembwela na TJ. Hii ni list nzima ya tuzo hizo. Wimbo bora wa mwaka Dear God – Kala Jeremiah Msanii bora wa Kiume Diamond Msanii bora wa kike Lady Jaydee Msanii bora wa kike Taarab Isha Mashauzi Msanii bora wa kiume Taarab Mzee Yusuf Msanii bora wa kiume Bongo Flava Diamond Msanii bora wa kike Bongo Flava Recho Msanii bora wa Hip Hop Kala Jeremiah Msanii bora wa kiume Bendi Chalz Baba Msanii bora wa kike Bendi Luiza Mbutu Msanii bora anayechipukia Ally Nipishe Video bora ya mwaka Baadaye – Ommy Dimpoz Mtunzi bora wa mashairi Taarab Mzee Yusuf Mtunzi bora wa mashairi B...

HAPPY BIRTHDAY CLASS MATE ELIADETHA EMMANUEL

Image
A birthday is a million moments, Each holding a promise of fulfillment of your dreams and accomplishments of some special plans May all your dreams and wishes come true!! Happy birthday!!

KWELI MANGWEA KIPENZI CHA WATU ANGALIA PICHA ZA WALIOJITOKEZA KUUPOKEA MWILI WAKE

Image
Picha ni kwa hisani ya Michael Mlingwa (MX CARTER)

MISS MWANZA KUFANYIKA IJUMAA YA TAREHE 14/6/2013

Image
S indano la kumtafuta mrembo wa mkoa wa Mwanza, linatarajiwa kufanyika June 14 katika viwanja vya Yatch Club jijini Mwanza. Warembo 18 kutoka wilaya mbalimbali za mkoa wa Mwanza wamejitokeza kushiriki shindano hilo la aina yake huku.     Burudani inayosubiriwa kwa hamu kubwa ni Mh.  Mbunge Joseph Mbilinyi maarufu kama sugu atakapo panda jukwaani kukumbushia enzi hizo...akishindikizwa na mkali mwingine wa Chege Chigunda kutoka TMK. Warembo wote wanatarajiwa kuanza kambi rasmi Jumanne hii katika moja ya hoteli maarufu jijini humo. Itakumbukwa mkoa wa M wanza tayari ulishatoa Mrembo wa Tanzania, ambaye ni Nasreem Karim 2009 na Miriam Gerald 2010. Pamoja na mchakato wa shindano la urembo kuendelea kwa hivi sasa nchini, macho na masikio yapo mkoani Mwanza, ambako kumekua kukileta changamoto na upinzani mkali wa warembo kila Mwaka.