Posts
VIDEO:Agalia video ya Shetta ft. Diamond Platnumz- Kerewa iliyofanyika south Afica
- Get link
- X
- Other Apps
MILLARD AYO KINARA TUZO ZA WATU,WASHINDI WENGINE HAWA HAPA
- Get link
- X
- Other Apps
Tuzo za watu zilizoandaliwa na kampuni ya bongo 5 media group, zimekamika kwa mara ya kwanza usiku huu katika ukumbi wa Serena hotel Jijini Dar Es Salaam, huku Millard Ayo Mr. count down akiondoka na tuzo mbili ya mtangazaji bora wa radio anayependa na kipindi bora kinachopendwa cha Amplifier. Usiku huu wa tuzo za watu umepambwa na wanamziki kutoka THT, wachekeshaji dogo Pepe na Enika kutoka Evans Bukuku comedy club, pamoja na uzinduzi rasmi wa video ya Ben Paul inayokwenda kwa jina la "unanichora" iliyoandaliwa na mshindi wa muongozaji bora wa video kupitia Tuzo za watu Nisher. Kila mshindi katika tuzo hizi za watu ameondoka na kitita cha Tsh. 1,000,000 sambamba na tuzo zilizotengenezwa kiafrika. Hawa ndio washindi wa tuzo hizi za watu waliondoka na tuzo 1.Muongozaji bora wa video ya muziki waliokuwa wakichuana ni Adam Juma, Mecky Kaloka na Nisher, mshindi ni NISHER 2.kipindi bora cha runinga kinachopendwa ilikuwa ni Friday Night, Mkasi pamoj...
BONGO5 WATOA UFAFANUZI WA KUTOKUONYESHA LIVE TUZO ZA WATU KWENYE RUNINGA
- Get link
- X
- Other Apps
Masaa machache yakiwa yamebakia zile tuzo za watu kuanza kutolewa kwa washindi katika hoteli ya Serena jijini Dar Es Salaam,ambapo zitakuwa hosted na Jimmy Kabwe, mhariri mkuu wa tovuti ya bongo5 Bw. Fredrick Bundala aka skywalker kupitia mtandao wa instagram amewapa taarifa mashabiki wa tuzo hizi sababu ya kutoweza kuzirusha tuzo hizi live kwenye runinga ikiwemo swala la gharama kuwa kubwa. "Kutokana na watu wengi kuulizia kwanini #tuzozawatu hazitaoneshwa live kwenye TV ngoja nieleze kdg haya. #tuzozawatu bado ni ndogo msifananishe kabisa na KTMA. Kununua airtime ya TV ya saa zaidi ya 5 kuwa live ni zaidi ya shilingi milioni 100. Bongo5 ingependa kurusha live kwenye TV ili kila mtu aweze kuangalia lakni kwakuwa ndio wameanza hilo haliwezekani kwa sasa. Tuzipeni muda zikue kwanza, wadhamini waingie on board hayo yatawezekana. Hicho walichokifanya Bongo5 ni kikubwa hata hapo walipofikia" hiki ndicho alichokipost Skywalker akitoa ufafanuzi. Utoaj...
BBALL KITAA SI YA KUKOSA WEEKEND HII, 27 JUNE PALE GYMKHANA
- Get link
- X
- Other Apps
PICHA: TEGEMEA KUONA HIVI KATIKA VIDEO MPYA YA MDOGO MDOGO YA DIAMOND PLATNUMZ.
- Get link
- X
- Other Apps
Diamond ameanza kutoa vionjo vya video ya wimbo wake mpya wa Mdogomdogo jinsi utakavyokuwa kwa kutupia mtandaoni moja wapo ya still picture itakayoonekana katika video hiy. It always begins with feelings" haya ni maneno ya kiingereza yanayoonekana katika picha hii ambapo kwa kiswahili tafsiri yake ni “Siku zote inaanza na hisia.”je ni nini haswa anachokimaanisha tusubiri video kila kitu kitawekwa wazi.