PICHA: TEGEMEA KUONA HIVI KATIKA VIDEO MPYA YA MDOGO MDOGO YA DIAMOND PLATNUMZ.

Diamond ameanza kutoa vionjo vya video ya wimbo wake mpya wa Mdogomdogo jinsi utakavyokuwa kwa kutupia mtandaoni moja wapo ya still picture itakayoonekana katika video hiy.
Mdogomdogo 
It always begins with feelings" haya ni maneno ya kiingereza yanayoonekana katika picha hii ambapo kwa kiswahili tafsiri yake ni
“Siku zote inaanza na hisia.”je ni nini haswa anachokimaanisha tusubiri video kila kitu kitawekwa wazi.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA