Posts

ONA MAMBO YA CHART ROOMS

Image
wale wapenzi wa kuchart unaona fix zinazofanyika daily! lol

BONGE LA TAMASHA PALE KATI VIWANJA VYA BIAFRA KINONDONI

Image
leo Jumamosi kutafanyika Bonge la Tamasha la cocacola katika viwanja vya Biafra Kinondoni,kuanzia mida ya saa nane mchana,kutakuwa na zawadi mbalimbali zitakazotolewa pale,jishindie tiketi ya kwenda South Africa kuungana na wapenzi wa soka duniani katika mashindano ya kombe la dunia yatakayofanyika nchini humo mwaka huu. "Picha hizo zinaonyesha harakati za kumalizia maandalizi leo asubuhi"

HAPPY BIRTHDAY BROWN

Image
Mtoto Brown Nyanja anafikisha miaka mitatu leo sherehe itafanyika nyumbani kwao maeneo ya kinondoni B,Nakutakia maisha mema na marefu

JERA SI MCHEZO

Image
CHECK OUT AFTER LIL WAYNE SENTENCED AKITOKA HUKO SIJUI HATAKUJA NA JIPYA GANI

MISHEMISHE NDANI YA JIJI PANDE ZA KARIAKOO

Image
pande hizi ni za kariakoo maeneo ya msimbazi nilikuwepo mida ya mchana,pande hizi watu hawakosekani kuna nyomi ya watu kama unabisha nenda saa nane usiku kariakoo na utakuta watu wanapiga mzigo kama kawaida!!!!

WASANII WA KIKE WANAHITAJIKA RJ COMPANY

Image
Wasanii wa kike wanahitajika kufika katika ofisi za RJ COMPANY zilizoko SINZA MORI kuanzia leo (jana) tarehe 17/3/2010 saa 4 kamili asubuhi mpaka saa 12 jion kwa siku za jumatatu mpaka ijumaa. Jumamosi kuanzia saa 4 kamili asubuhi mpaka saa 8 mchana.Lengo ni kuwapata wasanii wa kike ambao ni wapya katika tasnia ya filam nchini ili waje kushiriki katika filam mpya itakayoandaliwa na kampuni ya RJ.HAKUNA GHARAMA ZOZOTE ZILE WATAKAZOLIPISHWA KWANI KAMPUNI INAJITOSHELEZA. Narudia tena lengo letu ni kuwapata wasanii wapya katika tasnia ya filam nchini kwa hiyo kama unajihisi wewe ni mrembo basi kwa sasa tunatafuta wasanii wapya wa kike lengo ni kufuata maoni ya wadau kuwa wanataka watu wapya umri ni kuanzia miaka 18 mpaka 28 pia unaweza kututumia picha zako kabla ujaja ili tuweze kukuona jinsi ilivyo plz changamka uwe staa mpya wa kike kwa hisani ya michuzijr.blogspot.com

AFANDE SELE ATOA SOMO KWA WASANII WA BONGOFLEVA

Image
Muhimu ni kwa artist wa Bongofleva wenye majina kuwa tayari kukutana wote katika mikutano inayoendelea sasa ikiongozwa vyema na wasanii wenzetu ambao wameshalipia ada ya chama chetu BASATA na tayari mikutano inaendelea mara kwa mara japo mara nyingi wanaojitokeza ni artist wenzetu wakubwa kwa wadogo lakini si wale wanaoaminika kuwa na majina makubwa. Watambue kwamba wakati ndio huu wa sisi kutambulika kama wasanii ili tuweze kudai na kupata haki zetu tunazostahili toka katika vyanzo kibao vya michongo vilivyopo kwa ajili ya muziki wetu, vitu kama usambazaji, udhamini na mambo kibao ambayo leo yanakuja lakini wanachukua watu ambao kimsingi ndio wanaotutesa na kutunyima dili miaka yote. Rais alisema tumueleze shida zetu, wajanja wakasema eti shida yetu ni studio tu, wakati tuna matatizo kibao ya msingi ikiwemo sheria ya haki miliki katika katiba ilivyopitwa na wakati na mambo kibao yanayosabisha artist wakila bia mbili,tatu wanafulia!. Ila artist wa kibongo hasa wale wanaojitambua lazima

cheki comedy katika soka

"Young Forever" Jay-Z | Mr. Hudson

PRAY TO ALMIGHTY GOD THAT U WILL BE AT DSM AND TANZANIA IN 2060

Image
kigamboni KIGOGO MANZESE TANGA MWANZA DAR ES SALAAM Hivi ndivyo itakuwa Tanzania mwaka 2060,roho isikuume coz unaweza ukawa haupo 1DAR ES SALAAM

TUWASAIDIE WAJASIRIAMALI WETU JAMANI

Image
Check out this new ride from kitaani,Tuwasapoti wabunifu wetu jamani

Jamani, ebu angalieni hii, hizi sheria bado zipo? ?

Image
huko somalia ukikamatwa na mke wa mtu inakuwa hivi,check picha hizo hapo chini