BONGE LA TAMASHA PALE KATI VIWANJA VYA BIAFRA KINONDONI




leo Jumamosi kutafanyika Bonge la Tamasha la cocacola katika viwanja vya Biafra Kinondoni,kuanzia mida ya saa nane mchana,kutakuwa na zawadi mbalimbali zitakazotolewa pale,jishindie tiketi ya kwenda South Africa kuungana na wapenzi wa soka duniani katika mashindano ya kombe la dunia yatakayofanyika nchini humo mwaka huu.

"Picha hizo zinaonyesha harakati za kumalizia maandalizi leo asubuhi"

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA