WASANII WA KIKE WANAHITAJIKA RJ COMPANY


Wasanii wa kike wanahitajika kufika katika ofisi za RJ COMPANY zilizoko SINZA MORI kuanzia leo (jana) tarehe 17/3/2010 saa 4 kamili asubuhi mpaka saa 12 jion kwa siku za jumatatu mpaka ijumaa.


Jumamosi kuanzia saa 4 kamili asubuhi mpaka saa 8 mchana.Lengo ni kuwapata wasanii wa kike ambao ni wapya katika tasnia ya filam nchini ili waje kushiriki katika filam mpya itakayoandaliwa na kampuni ya RJ.HAKUNA GHARAMA ZOZOTE ZILE WATAKAZOLIPISHWA KWANI KAMPUNI INAJITOSHELEZA.


Narudia tena lengo letu ni kuwapata wasanii wapya katika tasnia ya filam nchini kwa hiyo kama unajihisi wewe ni mrembo basi kwa sasa tunatafuta wasanii wapya wa kike lengo ni kufuata maoni ya wadau kuwa wanataka watu wapya umri ni kuanzia miaka 18 mpaka 28 pia unaweza kututumia picha zako kabla ujaja ili tuweze kukuona jinsi ilivyo plz changamka uwe staa mpya wa kike

kwa hisani ya michuzijr.blogspot.com

Comments

  1. I really like what you guys tend to be up too. This kind
    of clever work and coverage! Keep up the fantastic works guys
    I've included you guys to blogroll.
    Feel free to surf my blog - Bielizna

    ReplyDelete
  2. Intereѕtіng blog! Is your theme custom madе
    oг dіd you download it from somеwheгe?
    A desіgn liκe yourѕ ωіth a few
    simplе adjustеments woulԁ really make
    my blog ѕtand оut. Pleasе let me knοw wherе
    yοu got your thеme. Apprеciate it
    My webpage Woodworking

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA