Posts

Ajali Nyingine Mbaya Yaua Wanafunzi 18,Majeruhi 125

JIJI la Tanga limfeunikwa na simamzi kuu kufatia wanafunzi 18 wa Chuo cha Kiislamu cha Shamsil-Maariff kufa papo hapo na wengine 125 kujeruhiwa vibaya, baada ya lori walilokuwa wakisafiria kutoka kwenye sherehe za maulidi kupinduka. Habari hii ni kwa hisani ya www.chahali.blogspot.com

IMETIMIA MWAKA MMOJA TANGU MLIPUKO WA MABOMU MBAGALA..

Image
Milipuko ya Mabomu - Mbagala ni tukio lililotokea mnamo saa 11:45 asubuhi ya tar. 29 April ya mwaka wa 2009 katika eneo la Mbagala jijini Dar es Salaam, Tanzania. Ni baada ya mabomu kulipuka katika ghala ya silaha ya kambi ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) namba 671 KJ.sasa ni mwaka mmoja tangu yalipotokea.. Mabomu hayo yaliyokuwa yakilipuka kwa mfululizo yamesababisha vifo vya watu zaidi ya 20, kujeruhi zaidi ya watu 200 na mamia kadhaa, wengi wao wakiwa ni watoto, kupotea. Athari nyingine ni uharibifu wa majumba na mali.

TATIZO LA INTANETI LILILOSAMBAA AFRICA,ASIA,EUROP E

Image
Tatizo la intaneti ambalo limelalamikiwa na wenye blogu wengi si tu kuwa limeathiri eneo moja bali limegusa nchi katika mabara matatu - Afrika, Asia na Ulaya. Mmoja wa bloga mashuhuri wa India, Amit Agarwal wa blogu ya labnol.org anaandika na kuthibitisha kupatwa na tatizo hilo na anasema kuwa, tatizo hili limesababishwa na hitilafu katika mawasiliano hayo yaliyopo chini ya bahari na inatarajiwa kuwa yatachukua hadi siku tatu hivi hadi matengenezo yakamilike, "Internet services across India have been affected because of faults in an undersea cable (SEA-ME-WE 4) that carries the majority of Internet traffic between South East Asia and Europe. The repair work is expected to be over in the next 2-3 days.

PATA MAKUNDI YA KOMBE LA DUNIA

Image

HELLEN DAUSEN NDIYE MISS UNIVERSE 2010

Image
HELLEN DAUSEN KATKA TABASAMU Kinyang’anyiro cha kumsaka Miss Universe 2010 hapa nchini, kilifanyika usiku wa kuamkia leo ndani ya Ukumbi wa Mlimani City Conference Centre na HELLEN DAUSEN kuibuka kuwa mshindi

BECKHAM TO TAKE LESSON FROM SNOOP

Image
david_beckham and _snopp_dog. Football star David Beckham has been offered rap lessons by hip-hop artist Snoop Dogg after both became friends while shooting an Adidas advertisement together.

NEW THING IN THIS BLOG......................

YOU CAN TRANSLATE THIS BLOG INTO DIFFERENT LANGUAGES ESPECIALLY THOSE FOLLOWERS FROM ABROAD YOU CAN TRANSLATE FROM KISWAHILI INTO ENGLISH,FRENCH,SWEDISH,ARABIC,CHINESE,Norwegian,Japanese,GREEK ETC

Never Give Up In Life…

Image
And…This is Today..You are told dont give Up that easily,life is all about ‘Get Rich Or die Trying’…Unawajua ni wakina nani hawa lakini????Kutoka kulia ni Nonini a.k.a The Godfather akiwa na Juacali(Wanamuziki maarufu kutoka Kenya)Angalia walivyo leo na mafanikio waliyokuwa nayo..

Amazing technology! Now you can Tarck Flights movemet LIVE online with Casper

I saw another amazing application of technology online today in a website called Casper, I couldn't help it but start to wonder and think of how the world would be like a decade from now. Really amazing stuff! Casper is an innovative web-solution to present aircraft movements in an attractive design, live and recorded traffic is presented using Google Maps. Using a proprietary track processing algorithm really smooth flying aircraft can be shown with speeds up-to 100 times. As I write this post, Casper is displaying LIVE flight movements of planes at the Schipol Int'l Airport in Amsterdam. In this site, you can: - Play-back on different speeds up to 100 times - See different aircraft models for different types - See different coloring of the aircraft depending on height, direction or airline - See the labels near the aircraft with information like call sign, aircraft type, height, speed, etc. - See the trails behind the aircraft Explore more atL casper.frontier.nl

ENZI HIZO CPWAA

Image
picha ya cpwaa mwaka1995 Kumbe swagga kazianza zamani kijana cpwaa,hii ndivyo alivyokuwa mwaka 1995pwaa

AINA MPYA YA UTAPELI TANDO - Barua yenye mhuri, tarehe na saini!

Image
Kadiri siku zinavyosonga, ndivyo na watu wanavyotumia intaneti na kadiri ya matumizi ya intaneti yanavyoongezeka ndivyo na vitendo vya kidanganyifu na wizi wa mitandaoni vinavyoongezeka. Kujifunza kung'amua mbinu wanazozitumia matapeli katika kufanikisha malengo yao ndicho kiokozi muhimu katika kujilinda wewe binafsi na wale unaowajali dhidi ya upotevu wa fedha na mali. Kwa bahati mbaya, matapeli kama ilivyo kawaida yao, hawakomi kujaribu kuvumbua mbinu mpya za kuiba pale wanapogundua kuwa watu wengi wameshazifahamu na kuzizoea mbinu zao. Siku tatu zilizopita nimepokea ujumbe kama unavyosomeka kwenye picha inayoonekana hapo (bofya kuikuza ili kupata ukubwa unaosomeka kirahisi zaidi) na katika ujumbe huo, hakukuwa na maelezo zaidi ya 'respond to the subject matter'. Nilifungua kiambatanisho hicho na kusoma maelezo hayo. Yafuatayo ni mambo muhimu ya haraka niliyotumia kung'amua kuwa ujumbe huu ni wa kitapeli. 1. Tarehe iliyopo katika mhuri ni 05.05.10, mbona bado hatuj

HaPpY bIrTHdAY NICODEMUS

Image
nikodemus katika pozi happy Birthday Nicodemus Nzungu,leo ni siku ya kuzaliwa ya classmate wangu pia ma best friend since our childhood ambaye yuko Nchini India Kimasomo nakutakia maisha mema na marefu na Mungu akutangulie katika kila jambo katika maisha yako.