HaPpY bIrTHdAY NICODEMUS

nikodemus katika pozi

happy Birthday Nicodemus Nzungu,leo ni siku ya kuzaliwa ya classmate wangu pia ma best friend since our childhood ambaye yuko Nchini India Kimasomo nakutakia maisha mema na marefu na Mungu akutangulie katika kila jambo katika maisha yako.

Comments