Posts

MAKAMUZI YANAELEKEA SEATTLE 28-AUG BAADA YA KASAS CITY

Image
Haya kazi kwenu wana wa EAST AFRICA mnaoishi mitaa ya SEATTLE,mwana HAULE yupo kwenu tayari kukinukisha mbaya vilivyo…show itafanyika tarehe 28 AUGUST katika ukumbi wa AFRIQ LOUNGE...usikose baab

BBA ALL STARS KURUKA BONGO FLEVA WIKI HII..

Image
Jmosi wiki hii..Dj Stive B kutoka Clouds fm atachapa ngoma kali za ukweli hasa Bongo flevaz ndani ya mjengo wa BBA All Stars na kuwarusha washiriki wote mjengoni...huu ni utaratibu mpya wa BBA All Stars mwaka huu kuwafurahisha washiriki na kuwafanya wa-enjoy weekend kila j'mosi kwa kuwaalika ma-djs mbalimbali toka nchi mbalimbali za Afrika kupiga ngoma mjengoni pale...safari hii ni zamu ya Bongo na Dj aliyebahatika kupata zali hilo ni Stive B aka Skillz...kazi kwenu fans kufuatilia nini kitajili siku hiyo

KATIZA ANGA YAO UONE SHUGHULI

Image
Ni askari wa kikosi cha kuzuia na kutuliza fujo Tanzania, Field Force Unit, (FFU) al maaruf Fanya Fujo Uone, wakiwa katika mavazi yao rasmi tayari kwa kukabiliana na purukushani zozote ambazo zinaweza kuchomoza kutokana na kutokukubaliana katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu wa Wabunge na Raisi.

TAHADHARI KWA WAPENDA KULA KARANGA JIANI

Image
Mfanyabiashara ndogondogo wa karanga ambaye jina lake halikujikana akiokota karanga zilizomwagika jana nje ya Ofisi za Idara ya Habari (MAELEZO) jijini Dar es Salaam (? na kuzichanganya kwenye zilizomo kwenye kifuko cha biashara?). Hatua hiyo inahatarisha afya za walaji kwa kuwa upo uwezekano wa kijana huyo kuziuza tena kwa wateja wake bila wao kujua kama sio salama. Mtizamaji, tizama mwelekeo wa mikono hiyo unaookota karanga, hizo zinaelekea kutupwa au kuchanganywa'mo? Ikiwa alikuwa na nia ya kuzitupa, kwa kawaida huwa tunafyagia kwa mguu kuelekea pembeni ikiwa mikono tayari imebeba kitu, ama, kile kilichobebwa huwekwa mbali na mwelekeo wa mikono au miguu huwa upande wa ardhini (kama ni kutoka kwenye sakafu) au huwa tunaacha na kusonga mbele. Matatizo ya kiafya ya magonjwa ya mlipuko vyanzo vyake ni vya aina hii kwani sehemu kinapookotwa chakula huwa imekanyagwa na viatu vilivyopita maeneo machafu sana ikiwemo vyooni na majalalani.

JAY-Z AND BEYONCE ENJOYING IN ITALY

Image
Jay-Z and his wife Beyonce are currently enjoying a romantic vacation in Italy. The couple were spotted strolling the streets of Portoferraio last Friday.

NAFAZI ZA KAZI MBALIMBALI

MANAGER TECHNICAL SERVICES SECTION Qualification: Holder of BSc. Engineering in Electronics and Telecommunications Apply: The Director General, Tanzania Meteorological Agency Box 3056, Dar es Salaam Details: Mwananchi, August 16, 2010. Deadline: September 02, 2010 HEAD LEGAL OFFICER Qualification: Holder of Bachelors of Law (LLB) Apply: The Director General, Tanzania Meteorological Agency Box 3056, Dar es Salaam Details: Mwananchi, August 16, 2010. Deadline: September 02, 2010 ENGINEER Qualification: Holder of degree in Engineering or Advanced diploma in Engineering (Telecommunications/Electronics) Apply: The Director General, Tanzania Meteorological Agency Box 3056, Dar es Salaam Details: Mwananchi, August 16, 2010. Deadline: September 02, 2010 REGISTRY CLERK Qualification: Holder of Advanced certificate of Secondary Education with passess in English Apply: The Director General, Tanzania Meteorological Agency Box 3056, Dar es Salaam Details: Mwananchi, August 16, 2010. Deadline: Septe

UCHAGUZI MKUU 2010: Mawaziri wanyakua ushindi mezani

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimezidi kujitwalia majimbo ya ubunge kabla ya upigajikura hapo Oktoba 31 mwaka huu, baada ya idadi ya wagombea wake wakiwemo mawaziri kupita kwa ushindi wa 'mezani' wa mapingamizi dhidi ya washindani wao na kuwezesha chama hicho, kuweka kibindoni majimbo 16 hadi sasa hivi. Hadi jana, CCM iliweza kujitwalia majimbo zaidi likiwemo Mlele kwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda, baada ya mgombea wa CUF Abasi Rashid, kujitoa kwenye mbio hizo huku katikia Jimbo la Mtama, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, akipita kwa mlango huo wa pingamizi dhidi ya Isaya Ndaka wa TLP, baada ya kukosa idadi ya wadhamini wanaohitajika. Kasi hiyo ya CCM ilizidi kuongezeka jana baada ya Waziri wa Mambo ya Ndani Lawrence Masha kupita kwa mlango huo wa pingamizi dhidi ya mshindani wake kutoka Chadema Wenje Ezekie huku Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja, naye akipeta. Hadi sasa wana CCM waliotangazwa kuteuliwa wabunge na majimbo yao kwenye mabano ni

Watanzania wanaoishi nje hawatapiga kura 2010

Serikali imesema kuwa bado haijakamilisha mkakati utakaowezesha Watanzania wanaoishi nje ya nchi kupiga kura hivyo watakosa haki hiyo katika uchaguzi mkuu utakoafanyika Oktoba 31, mwaka huu. Waziri wa Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernad Membe alisema kuwa, kwa sasa bado wanalishughulikia suala hilo lakini hawawezi kupiga kura kwa sababu mchakato huo bado. “Hawawezi kupiga kura watanzania wanaoishi nje ya nchi, kwa sababu suala lao bado linafanyiwa kazi, hivyo basi hawawezi kupata nafasi ya kushiriki kwenye uchaguzi huu,”alisema Membe jana alipozungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam na kuongeza kuwa, Serikali bado inaendelea kuweka mazingira yatakayowezesha watu hao kupiga kura waweze kushiriki katika uchaguzi wa mwaka 2015. Alisema pindi mchakato huo utakapokamilika, Serikali itaweka hadharani ili wadau wote wafahamu namna utakavyotekelezwa kwa kuweka mazingira huru yenye lengo la kupanua demokrasia.

HAZINA YA UTALII KISIWANI UKEREWE

Image
KATIKA POZI MASUPER STAR WA KESHO WA PANDE HIZO ZA UKEREWE MLANGO WA KUINGIA PANGO LA BENKI. KORIDO INAYOTENGANISHA PANGO LA HIFADHI (SEHEMU YA BENKI YA WATEMI) NA UKUMBI WA MAPUMZIKO. ILI KUKUZA MAENDELEO YA SEKTA YA UTALII, KAMA MCHANGO WA SEKTA HII KWA TAIFA, JUHUDI ZAIDI ZA KUBORESHA MIUNDOMBINU KATIKA VIVUTIO VYA UTALII SHURTI VIPEWE KIPAUMBELE. MUHIMU NI KWA SERIKALI NA WAENDESHA SHUGHULI ZA UTALII NCHINI, KUANDAA UTALII KWA WANANCHI ILI WAWEZE KUONA VIVUTIO NA UTAJIRI WA NCHI YAO. OF COZ' SEHEMU YA SOMO LA HISTORIA UTALII NI NJIA NYINGINE YA KUPATA ELIMU. LIKIWA NA MVUTO WA KIPEKEE HILI NI KANISA LA KWANZA LA ROMAN CATHOLIC LILILOJENGWA ENZI ZA UKOLONI KTK KISIWA CHA UKARA WILAYANI UKEREWE. H ANDEBEZYO HILL SEHEMU ILIYO JUU YA KILELE CHA KILIMA CHA PANGO LA BENKI YA WATEMI . ENEO AMBALO LILITUMIKA KWA AJILI YA ULINZI NA USALAMA WA KISIWA, KUONA MAADUI WANAOKUJA KUVAMIA NA KADHALIKA. UKISIMAMA ENEO HILI UNAONA SEHEMU KUBWA YA KISIWA CHA UKEREWE.

Ci-Error Is STILL Letting 50 Cent Ri-i-i-iiide!!!

Image
Ciara is still getting her tender cakes CHOPPED DOWN by 50 Cent ! In case you wondered whether the love is still strong between rapper/actor 50 Cent and r&b singer Ciara it sure looks like it is. The pair arrived for a lil hotel rendezvous in New York City yesterday.

Web/Graphics Designer needed urgently

Location: Dar es Salaam, Tanzania Employment Type: Full-Time Summary: WEB/GRAPHICS DESIGNER, WANTED URGENTLY Our offer: Challenging position, stimulating environment conducive to profesional and personal development Remuneration and terms commensurate with the competences of the candidate and responsibilities of the job Requirements: A good Bachelors degree or Equivalent in relevant field Practical knowledge and experience web design and relevant tools, including CSS, XML and HTML. At least 1 year demonstrable experience Ability to work with limited supervision Enthusiasm towards learning Good inter-personal skills Closing Date:02 September 2010 Contact Info: Enble Consulting Address: P.O. Box 78406 Plot 149, Mikocheni B, Dar es Salaam, Tanzania. Telephone: +255 614 109 697 Email: info@enble.co.tz Submit your application (with copies of the relevant documents)
katika peruzi yangu katika tovuti mbalimbali nikakutana na hii habari kuhusu wanaume ambao hawajaoa ebu endelea kusoma mwenyewe i) Wanaume wengi ambao hawajaoa huoga mara moja tu kwa siku (wengine hata siku mbili au zaidi), hali inayopelekea kunuka majasho, na katika kufunika hili hujipulizia perfume kali. sasa timbwili linakuwa anapoingia kwenye majambo, dk chache tu majasho mapya+ya zamani+perfume unakuta ananuka uvundo... ii) Wanaume wengi ambao hawajaoa hufua kufuli zao mara 1 kwa saa 24 (au zaidi), na ukiwafuma kwa gafla (kama hamkupanga) unakuta wana kamchirizi keusikeusi sehemu ya chicni ya kufuli kwa ndani. Kufunika hili wengi hupenda kuvaa boxer za rangi isiyoonyesha, hawavai nyeupe iii) Wanaume wengi ambao hawajaoa wanafuga mav*** iv) Wanaume wengi ambao hawajaoa kwa kuwa mara nyingi wanakuwa na ukame, ni rahisi kula hata mademu wa chini ya viwango vyao (hata makahaba), hii inasababisha unaweza kukutana nae gafla ukakuta katoka kunyonywa. v) Wanaume wengi ambao hawajaoa wanav