katika peruzi yangu katika tovuti mbalimbali nikakutana na hii habari kuhusu wanaume ambao hawajaoa ebu endelea kusoma mwenyewe

i) Wanaume wengi ambao hawajaoa huoga mara moja tu kwa siku (wengine hata siku mbili au zaidi), hali inayopelekea kunuka majasho, na katika kufunika hili hujipulizia perfume kali. sasa timbwili linakuwa anapoingia kwenye majambo, dk chache tu majasho mapya+ya zamani+perfume unakuta ananuka uvundo...

ii) Wanaume wengi ambao hawajaoa hufua kufuli zao mara 1 kwa saa 24 (au zaidi), na ukiwafuma kwa gafla (kama hamkupanga) unakuta wana kamchirizi keusikeusi sehemu ya chicni ya kufuli kwa ndani. Kufunika hili wengi hupenda kuvaa boxer za rangi isiyoonyesha, hawavai nyeupe

iii) Wanaume wengi ambao hawajaoa wanafuga mav***

iv) Wanaume wengi ambao hawajaoa kwa kuwa mara nyingi wanakuwa na ukame, ni rahisi kula hata mademu wa chini ya viwango vyao (hata makahaba), hii inasababisha unaweza kukutana nae gafla ukakuta katoka kunyonywa.

v) Wanaume wengi ambao hawajaoa wanavaa nguo ambazo hazifuliwi mara kwa mara, zinakuwa na kaharufu....

vi) Wanaume wengi ambao hawajaoa soksi zao zinanuka...

vii) Wanaume wengi ambao hawajaoa wanakuwa na fangasi kwenye korodani (sijui kwa nini!)

viii) Ukiingia gafla kwenye chumba cha mwanaume ambaye hajaoa, mara nyingi kinakuwa kichafu balaaaaaaa....

ix) Wanaume wengi ambao hawajaoa hupiga mswaki mara 1 tu kwa siku (asubuhi) hivyo mara nyingi wanakuwa na vinywa vichafu..
je ni kweli kuhusu tuuma hizo hapo juu?
habari hii ni kutoka
http://www.kishoka.com

Comments

  1. ITS TRUE "NO COMMENT ABOUT THAT" my self sijaoa thats why i know it..

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA