Posts

BREKING NEWZ SUPER COACH MZIRAY KATUTOKA

Image
Marehemu Syllesai HABARI ZINASEMA SUPER COACH SYLVESTER SAID MZIRAY AMEFARIKI DUNIA ALFAJIRI YA LEO KATIKA HOSPITALI YA AGA KHAN JIJINI DAR ALIKOKUWA AMELAZWA AKISUMBULIWA N MALARIA. HABARI ZA MIPANGO YA MAZISHI ZITAFUATA MARA TU BAADA YA KUPATIKANA. COACH MZIRAY , ALIYEKUWA MWAJIRIWA WA CHUO KIKUU HURIA KAMA MHADHIRI, ATAKUMBUKWA KWA UMAHIRI KATIKA UFUNDISHAJI SOKA KATIKA VILABU MBALIMBALI HADI TIMU YA TAIFA ILIYOSHINDA UBINGWA WA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI. ALIFUNDISHA PIA PILSNER, SIMBA, YANGA, PAN AFRICAN NA KABLA YA MAUTI KUMKUTA ALIKUWA MWALIMU WA VIUNGO NA SAIKOLOJIA WA KLABU YA SIMBA. GLOBU YA JAMII INAUNGANA NA WATANZANIA WOTE KUOMBOLEZA MSIBA HUU MZITO AMBAO NI PIGO KWA TASNIA YA MICHEZO NCHINI UKIZINGATIA TUNA MAKOCHA WACHACHE WALIOSOMEA FANI HIYO NA KUBOBEA. MOLA AIWEKE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI - AMIN

AY NA SEAN KINGSTON NDANI YA COLLABLE

Image
Ambwene Yesaya (AY) kwa wakati huu yupo mjini Mombasa akisubiri kupiga Show katika maadhimisho ya Siku ya Mashujaa wa Nchini Kenya, lakini Ishu nayotaka kuzungumzia hapa ni kuhusiana na Collabo waliypanga Kupiga A.Y na Msanii wa Kimataifa Sean Kingston, Kama unakumbuka A.Y aliwahi kusema miezi ya Kumi au Kumi na moja atachomoka kuelekea Katika jiji la Miami nchini marekani, Kukutana na Sean Kingston, So Gwafara Gwafara ilimvutia wire, ili kujua Safari hiyo ipo ama ni Magumashi. A.Y: Baada ya kutoka huku Mombasa Safari inayofuata ni ya kwenda Miami nchini Marekani, na tayari nimesha rekodi ngoma tatu, ambazo nitakwenda kumskilizisha Kingston so yeye atachagua ipi ambayo ipo mzuka kwake kutupia Vocal, lakini pia niko tayari kukaa nae chini kutunga Idea mpya ya wimbo kama hizi hazitomvutia. 255: Umesema umefanya Ngoma, Je Ngoma hizo umepigia Studio gani, na kuna msanii yeyote kutoka Bongo au Afrika Mashariki uliyemshirikisha kwenye Hizo ngoma? A.Y: Ngoma hizo nimepiga chini ya Mtu mzima P

SITOMWACHA LYRICS BY STEVE R&B RAET NGWEA

Verse 1: Steve r*b nakuhitaji we baby sina raha ukiwa mbali na mimi crazy yeah! nakuhitaji milele njoo tujipange wote milele unipe malavidaviyazidi kilele yeah! showty you drive me crazy yeah showty you drive me crazy eeeeeh Pre chorus ukinibania ntaumia, utanifanya daily nalia nalia baby sitovumilia vumila kwani moyo umekuchagua chagua weweX 2 Chorus sitomwacha sitomwacha huyu mtoto mzuri nikimpata ananipagawisha pagawisha anavyowaka uzuri wake kama taa showty nikibalieee showty niwe nawee X 2 Verse 2: Ngwea yeah , cowbama na east zoo yooh, holla! nizaidi ya zay b jinsi alivyo gado huyu baby figure yake roll modal aah anajiheshim anaheshimika kila angle hakuna nachofeel kwake zaidi ya mapendo sina mkataba nae bali nna malengo anajua kuhandle (ahaaaa) hana skendo body yake inakubali kila style ya pamba clssic million dolla smile anauchanganya ubongo wangu ka bacteria siku nisipo muona i feel sick, like malaria sio mi wakwanza , nilianza toka enzi wengi wamechanganyikiwa na mapenzi she

T.I. Sentenced To 11 Months In Prison

Image
A federal judge sentenced T.I. to 11 months in prison Friday (October 15) during a probation hearing, where the rapper was found to have violated the terms of his supervised release, according to the Atlanta Journal-Constitution.The prosecution sought to send T.I. (real name: Clifford Harris) back to prison for two years, The Associated Press reported. But the rapper pleaded with the judge to lessen his punishment and instead help him with his drug dependency, according to AP.Last month in Los Angeles, the rapper was arrested after a traffic stop, when police discovered drugs on him and his wife, Tameka "Tiny" Cottle. The incident prompted Friday's hearing. According to police documents obtained by several media outlets leading up to the hearing, at the time of his arrest, the rapper tested positive for opiates, was in possession of Ecstasy, and was also associating with a felon, who was present in his vehicle during the bust. T.I. was released from a halfw

SAMAHANI

Kwa wale wapenzi wa blog hii kidogo nilikuwa na Matatizo ya msiba pia kwa sasa niko kishule zaidi so kidogo hii kitu naona kama naipa muda mchache kidogo kwa sababu muda mwingi nakuwa shuleni,si unajua kuongeza elimu kidogo.....but tuko pamoja wapenzi wote wa blog hii.

VICHWA VINNE VIKALI NDANI YA UKISIKIA PAAA.

Image
Unajua nini hawa jamaa ni noma sana katika suala la Hip Hop ebu chungulia hapa chini then utaniambia nini kinaendelea katika Industry hii........... Lyrics za Ukisikia PAAA, Intro ahhh...ahhhh ohhh yeahhh..(shhhh!).. it's the remix (shhhh!)...JCB....(ahhhh!).....Murder..! (Tongwe Records Babyyyy) Verse 1 (JCB) Damu ilitapakaa baada ya ule mlio kulia PAAA, Watu wote walisambaa hata walevi wa kwenye bar, Sio polisi sio baunsa iliye kaa utashanga kwa nini mshkaji alizidi kumimina kwa kujiamini, Amini usiamini akabaki tu na mimi, Akanishikia bunduki kwa chini, Akadai eti nimpe madini lasivyo ananipiga risasi kama sabini, Anasura kama idi amini akarudi karibu atua tatu mpaka kabatini, Akatamka HEYOO! nipo kazini nimetumwa mzigo au ujithamini, Akanikanyaga kwa chini kikorofi bunduki tena akaikoki Akasema kama simuonyeshi leo sio koki,jinsi alivyo akilenge ye akosi mikosi, Kavaa koti jeusi jasusi, Mikono nikaweka juu kuepuka nukx huku natukana mengi matusi... Chorus X2 Ukisikia PAAAA...uj

UZOEFU BY SALUT VIDEO IS OUT CHECK IT

check out this video of One-Incredible

DOWNLOAD A NEW ALBUM OF LIL WAYNE

Image
Lil’ Wayne – I Am Not A Human Being This album is HOT click this link below to download it. http://www.blogger.com/www.dopenewsongs.com

Familia ya Mpangala yampongeza Vodacom Miss Tanzania 2010

Image
Familia ya Emmanuel Mpangala ikiwa katika picha ya pamoja wakati wa tafrija ya kumpongeza Binti yao Genevieve aliyeshinda taji la Vodacom Miss Tanzania 2010.Kushoto ni Dunstan na mziwanda Brian. Dua ya kuanza kwa tafrija ikisomwa na babu.... Wazazi wa Miss Tanzania wakiwa na binti yao. Kamati ya Miss Tanzania nayo haipo mbali... Burudani ya mziki ikiendelea kutoka kwa ... . Kalunde Band na hapa Deo Mwanambilimbi akifanya vitu. Kocha wa Yanga Papic na Rais Mstaafu wa Klabu ya Yanga Imani Madega wapo... Wadau wa TMK wakiongzwa na Ben Kisaka wapo. Mambo flani ya sherehe yalikuwa kama hivi Somoe aliongoza msafara huu. Miss Tanzania wa zamani (2009) nae huyo anapakua chake... Mdogo wa Vodacom Miss Tanzania akishusha stata yake. picha na habari ni kutoka wa father kidevu.

MATONYA & NONINI LIVE IN LONDON

Image
•★•★•★BONGOUK PRESENT EAST AFRICAN SHOW DOWN 2010•★•★★• @ TEREZA JOANNE BOAT KING GEORGE V DOCK E16 2QY London, United Kingdom •★•★•★•BONGOUK ENTERTAINMENT ARE TAKING ENTERTAINMENT TO NEW HEIGHTS WITH THE VERY BEST ENTERTAINERS, THE GODFATHER OF GENGE NONINI AND THE BONGO FLAVA KING MATONYA★•★•★•★ ★•★•★•★ PERFORMING LIVE ON THE SAME STAGE FOR THE FIRST TIME EVER IN THE UK "THE EAST AFRICAN SHOW DOWN"★•★•★•★ *********************************************** •★•★•NONINI WILL PUT THIS PARTY ON FIRE BY PERFORMING HIS HITS LIKE NEVER B4........... ★•★•★•★GENGE LOVE, KADHAA, MANZI WA NAIROBI, FURAHIDAY ETC.. *********************************************** ★•★•MATONYA WILL BE PERFORMING HIS HITS LIKE ★•★•★•★ANITA, VAILET, TAXI BUBU, SPAIR TIRE, SIAMINI ETC EARLY BIRD TICKET AVAILABLE FOR ONLY £10 £15@THE DOOR B4 MIDNITE / MORE AFT ▀▀▀▀▀ ►FROM 9PM TILL 4AM

Vodacom yatoa ofa ya internet Bure

Kampuni ya Simu za Mkononi ya VodaCom Tanzania, imezindua huduma mpya ya intaneti ambayo itawawezesha wateja wake kulonga (chat)kwa intaneti bure. Mkurugenzi wa Uhusiano wa VodaCom Tanzania, Mwamvita Makamba amesema kuwa wateja wa VodaCom sasa wanaweza kuwasiliana zaidi kwa kulonga bure kwenye tovuti za FaceBook, TheGrid na VodaMail. Huduma hiyo itapatikana kwa simu za mkononi na pia kwa Laptop zilizounganishwa na USB Moderm. “Tunapenda wateja wetu watumie mtandao wetu kwa kuwasiliana bure na hivyo kukata kiu yao ya mawasiliano”. Alifafanua kwamba hayo yote yatawezekana kwa kutumia mtandao wa 3G ambao una kasi na nguvu kubwa.