Posts

weekend Njema

Nawatakia wapenzi wa blog hii weekend njema

BAPRM I TEAM LEO KATIKA FAINALI

Image
BAPRM 1 ni timu ambayo hiko katika chuo kikuu cha Mtakatifu Augustino mjini Mwanza,wiki iliyopita iliweza kuingia fainali ya FAWASCO baada ya kuwatoa BAPRM 2 katika nusu fainali ambao walikuwa mabigwa watetezi kwa kuwafunga magori 4-0. Leo BAPRM 1 atacheza na BAEC maarufu kama EDUCHE....Mtanange huo utachezwa leo tarehe 5/06/2011 katika uwanja vya Raila Odinga kwanzia majira ya saa 10:00 jioni,wakazi wote wa Mwanza mnakaribishwa sana. Mshindi atakaye patikana leo katika fainali ataondoka na kitita cha sh. Million 17,mshindi wa pili ni Tsh million 9 na wa tatu Tsh. million 5

MAFISADI MPOOOOOO INAWAHUSU HII

Image
Pichani ni hekalu linalomilikiwa na Dikteta Muamar Gaddafi.Jumba hilo la kifahari (thamani yake ni takriban shilingi bilioni 27)lipo jijini London lakini kwa sasa limepata "wamiliki" wapya...watu wasio na makazi maalumu (squatters) wameamua kuchukua sheria mkononi na kuhamia hapo.Nani asiyetaka kuishi kwenye hekalu?Na hasa pale mmiliki wa hekalu hilo maji hana hakika kama kesho atakuwa madarakani!!! Je mafisadi wanapoona picha kama hii viroho haviwadundi japo kidogo?Good news is,hata wasipokumbwa na kimbembe kama hiki cha Gaddafi,siku moja wataitwa mbele ya haki na Mwenyezi Mungu...na hayo mabilioni wanayotudhulumu,kutunyang'anya,kutuibia,kutupora,nk WATAYAACHA HAPA HAPA DUNIANI. SOURCE NI www.chahali.com

UMEIONA HIYO?

Image
gari aina ya Toyota Dyna iliyotengenezwa kwa mfumo wa ghorofa ilikatiza maeneo ya Ubungo. picha ni kwa hisani ya Othman michuzi http://othmanmichuzi.blogspot.com/

HAPPY BIRTHDAY JOKATE MWEGELO

Image

SAMAHANI SANA WAPENZI WA BLOG HII

Kutokana na sababu zisizoweza kuzuilika nimekuwa nikishinda kupublish habari kutokana nakuwa na majukumu mengine ya shule ambayo yamekuwa yamechukua nafasi kubwa zaidi kwa sasa,lakini bado tuko pamoja pindi nitakapokuwa napata nafasi basi nitakuwa najitahidi kuja na kuwapa taarifa za kutosha

CPWAA KUZINDUA LEO ALBUM YAKE MAISHA CLUB

Image
BONGO FLAVA ENTERTAINMENT EVENTS, Yule bingwa wa kupiga crunk za hatari na beats za mdomo hapa Bongo Cpwaa atakuwa anazindua album yake inayokwenda kwa jina la "PWAA" Katika ukumbi wa Maisha club leo hii tarehe 13 FEB show hii si ya kukosa kabisa. Atasindikizwa na wasanii kibao kama Suma Lee,Chid Benz, Dully sykes,Quick Rocka na wengine kibao. DON'T MISS THE SHOW