Zaidi ya washiriki 60 walishiriki katika kinyang’anyiro cha mchujo wa kuwapata washiriki watakaoingia fainali na kuchuana katika mashindano ya ubunifu na uwanamitindo yanayoandaliwa na kinywaji cha Redd’s yanayojulikana kama Redd’s Uni-Fashion Bash yatakayofanyika katika Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino, Mwanza utakaoshirikisha wanafunzi toka SAUT na CBE. Mchujo huo uliofanyika hapo jana katika Chuo Cha Mt. Agustino ulishuhudia wabunifu 12 na Wanamitindo 24 wakifanikiwa kuingia kwenye fainali hizo. Wabunifu waliofanikiwa kuingia fainali ni Mash S. Julius (SAUT), Likwe Franers J. (SAUT), Mwihave Edga (SAUT), Ngolo Mlengeya (SAUT), Hilda Kibaki (CBE), Simon Joseph (SAUT), Mariam Hamis (SAUT), Joseph Timoth (CBE), Shila Chato (SAUT), Magreth Mwabusa (SAUT), Gerin D Siimay (SAUT). Wanamitindo 24 waliofanikiwa kuingia katika fainali ni Joyce Kalinga, Sundy Pendwa, Elizabeth Israel, Happyness Emmanuel, Perioth Malaki, Noela Simon, Aisha Idrisa, Ibrahim Samwel,