UDSM KIMENUKA: WANAFUNZI WAANDAMANA KUDAI FEDHA ZAO ZA MIKOPO KWA AJILI YA MALAZI NA CHAKULA.

Askari wa kutuliza ghasia wakielekea Ubungo ambapo wanafunzi wa UDSM hasa wa mwaka wa kwanza walikusanyika katika maandamano yenye lengo la kuishinikiza bodi ya mikopo kuwapatia fedha zao kwa ajili ya chakula na malazi.

Gari la polisi lenye maji ya kuwasha likielekea kudhibiti maandamano hayo.

Wanafunzi wa UDSM, Hapa ni Academic bridge.wanafunzi wakijadili baada ya kuvurugwa maandamano yao, hata hivyo wameapa kujipanga na kuendelea baadaye.wanaandamana kuhusu kudai mikopo ya mwaka wa kwanza ambao hadi sasa hawajapewa pesa ya chakula wala malazi.


/tzcampusvibe.wordpress.com

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA