Zaidi ya washiriki 60 walishiriki katika kinyang’anyiro cha mchujo wa kuwapata washiriki watakaoingia fainali na kuchuana katika mashindano ya ubunifu na uwanamitindo yanayoandaliwa na kinywaji cha Redd’s yanayojulikana kama Redd’s Uni-Fashion Bash yatakayofanyika katika Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino, Mwanza utakaoshirikisha wanafunzi toka SAUT na CBE.
Mchujo huo uliofanyika hapo jana katika Chuo Cha Mt. Agustino ulishuhudia wabunifu 12 na Wanamitindo 24 wakifanikiwa kuingia kwenye fainali hizo. Wabunifu waliofanikiwa kuingia fainali ni Mash S. Julius (SAUT), Likwe Franers J. (SAUT), Mwihave Edga (SAUT), Ngolo Mlengeya (SAUT), Hilda Kibaki (CBE), Simon Joseph (SAUT), Mariam Hamis (SAUT), Joseph Timoth (CBE), Shila Chato (SAUT), Magreth Mwabusa (SAUT), Gerin D Siimay (SAUT).
Wanamitindo 24 waliofanikiwa kuingia katika fainali ni Joyce Kalinga, Sundy Pendwa, Elizabeth Israel, Happyness Emmanuel, Perioth Malaki, Noela Simon, Aisha Idrisa, Ibrahim Samwel, Chiwunga Augustino, Rahim Abubakary, Silipa Swai, Laurian J. Hamza, Justuce Jackson, Fahad Rajab, Yeyeli Balyagadi, Oliva Kikage, Ghazal Ahmed, Carol Matunga, Chimwejo Leonard, Pambila Wilbert, Lasteck Alfred, Mankinga Siraki, Athman Hamad, Rwelamila Steven.
Majaji wa mchujo huo hapo jana wakifatilia washiriki hao kwa makini.
Washriki wakijiandaa kuingia jukwaani.
Happyness Emmanuel mshiriki wa Mitindo akionesha mambo yake mbele ya mashabiki na majaji.
Moja kati ya kivutio cha mashabiki katika mchujo huo kutokana na maringo katika matembezi yake.
Elizabeth Israel akinoesha manjonjo yake.
Mwanamitindo kutoka SAUT Joyce Kalinga akionesha mitindo yake jukwaani.
Ibrahim Samwel, mwanamitindo kutoka SAUT.
Justuce Jackson, mshiriki kutoka CBE.
Pambila Wilbert, mshiriki kutoka SAUT.
Ghazal Ahmed, mshiriki kutoka CBE.
Chimwejo Leonard kutoka SAUT akionesha miitindo yake, mshiriki huyu alipata shangwe za kutosha.
Allan Kalisa, Mdau wa Vibe akicheeka...
Wadau nao walikuwepo kushuhudia mchujo huo na kujua nani anaenda fainali.
source tzcampusvibe.wordpress.com
Comments
Post a Comment