Posts

KIFO CHA ZAOLA PARETO TANZANIA

Image
Zao la pareto ni miongoni mwa mazao ambayo wakulima wamekuwa wakipunguza na kuacha kuyalima kabisa, huenda ni kutokana na bei yake kuwa chini au soko sumbufu. Kamera ya Benjamin Kaminyonge ilipita maeneo ya wilaya ya Makete, kata ya Matamba na kuona zao hilo likiwa kwenye shamba la ekari moja ndani ya kijiji kizima huku kukiwa na mazao kama mahindi, ngano, maharage na alzeti kwa wingi. (picha: benjaminkaminyoge.blogspot.com)

VIJANA WATAKIWA KUJIEPUSHA NA MAKUNDI HATARISHI

Vijana Mkoani Mara wametakiwa kutojihusisha na makundi korofi na hatarishi na badala yake kujiunga na Club za Vijana ambazo zina lengo la kuleta mabadiliko na kupeana mawazo ambayo yatawasaidia katika maisha katika kujiendeleza na kupata mafanikio ya Kiuchumi,Elimu na mambo mengine ya msingi. Kauli hiyo imetolewa na Mratibu msaidizi wa Idara ya Vijana ya Youth to Youth kutoka Jijijini Mwanza Sadick Bakary alipokuwa akizungumza na mwakilishi wa blog hii kutoka Musoma Bw. Binda kuhusiana na kampeni ya kuhamasisha Vijana Mkoani Mara kuepukana na kujiiingiza katika makundi hatarishi ambayo yamekuwa hayana faida na kuanzisha Club ambazo zitawasaidia kuwa na mtazamo wa mabadiliko ya kimaisha. Alisema kijana kama kijana anaweza kutatua tatizo la kijana mwenzake kwa kumpa mawazo na kusikilizwa hivyo kwa kuanzisha Club kama hizo za vijana kutaweza kupata nafasi ya kukutana na kuweza kupeana mawazo ya kubadilika na kuwa na mawazo ya kujishughulisha kwa kutafuta kipato halali n

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AADHIMISHA SIKU YA MALARIA DUNIANI NA KUZINDUA RIPOTI YA MAFANIKIO YA UTEKELEZAJI WA MIKAKATI YA MALARIA TANZANIA BARA

Image
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati wa Kilele cha sherehe za maadhimisho ya Siku ya Malaria Duniani, zilizofanyika leo Aprili 25, 2012 katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam. Katika sherehe hizo pia Makamu wa Rais alizindua Ripoti ya Utekelezaji wa Mikakati ya Malaria Tanzania Bara. Picha na Muhidin Sufiani-OMR   Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe, kuzindua Ripoti ya Mafanikio ya Utekelezaji wa Mikakati ya Malaria kwa upande wa Tanzania Bara, wakati wa sherehe za maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Malaria Duniani zilizofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo Aprili 25, 2012. Katikati ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Haji Mponda (wapili kushoto) ni Kaimu  mkuu wa Wilaya za Kinondoni, Temeke na Ilala, Jordan Lugwimbana. Picha na Muhidin SUfiani-OMR

CHEKA AJIFUA KUMKABILI MAUGO JUMAMOSI HII

Image
Kocha wa mchezo wa Masumbwi Abdalah Ilamba 'Komandoo' akimfanyisha mazoezi ya kukaza misuli ya tumbo bondia Francis Cheka Dar es salaam jana Chaka anajiandaa na mpambano wake na Mada Maugo utakaofanyika jumamosi hii katika ukumbi wa PTA Sabasaba ambapo mshindi atakuwa bingwa wa Mkanda wa I.B.F na atanyakua Zawadi ya gari.   Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

The new issue of Baabkubwa Magazine is on da streets. Get ur copy. The Great Kanumba Special Issue

Image

MISS REDD’S ARUSHA CITY CENTRE kujulikana mei 5 NDANI YA HOTELi YA KITALII YA NAURA SPRINGS

Image
Washiriki wa kitongoji  Kanda ya kaskazini,Miss Arusha City Center 2012, wakiwa katika picha ya pamoja,tayari kuchuana vikali Mei  5 2012 ndani ya hoteli ya Kitalii,Naura Springs Hotel iliyopo kati kati ya jiji la Arusha.katika shindano hilo kiingilio kimepangwa kuwa ni kwa viti maalum ni sh.25,000/= na kwa viti vya kawaida ni sh 15,000/=   Washiriki wa Miss Arusha City Center 2012 wakiwa darasani kwenye mafunzo ya nadharia yatolewayo na chuo cha Udereva na Ufundi,Modern Driving School,ambao pia ni moja ya wadhamini wa shindano hilo. Washiriki wa Miss Arusha City Center 2012 wakiwa kwenye mafunzo ya vitendo yatolewayo na chuo cha Udereva na Ufundi,Modern Driving School,ambao pia ni moja ya wadhamini wa shindano hilo Mashindano ya Ulimbwende ngazi ya kitongoji  Kanda ya kaskazini,Miss Arusha City Center 2012,yanatarajiwa kufanyika Mei  5 2012 ndani ya hoteli ya Kitalii,Naura Springs Hotel iliyopo kati kati ya jiji la Arusha. Akizungumza

MKWAWA IRINGA KWACHAFUKA ,BARABARA YACHIMBWA NA WANACHUO ,MAGARI YAKWAMA KUPITA

Image
Wanachuo Mkwawa Iringa wakiwa wamechimba barabara kushinikiza matuta Hivi ndivyo barabara eneo la Mkwawa ilivyoharibiwa na wanafunzi hao Gari laTANESCO likigeuza baada ya barabara kuchimbwa Magari yakigeuza baada ya barababara kufungwa                                                     source :  francisgodwin.blogspot.com

HAPPY BITHDAY JUNIOR

Image
  WISH ALL DA BEST IN UR LIFE HOMEBOY

SAUT GENERAL ELECTION VOTE FOR ANTHONY NESTORY AND ALICE AMOS

Image
  ST.AUGUSTINE UNIVERSITY OF TANZANIA WILL HELD THE GENERAL ELECTION ON 25/04/2012 TO CHOOSE NEW PRESIDENT AND VICE- PRESIDENT. VOTE FOR ANTHONY NESTORY AND ALICE AMOS   VOT "VOTE FOR LEADERSHIP WITH EXCELLENCE SERVICE".

SAUTSO GENERAL ELECTION 2012/2013, THE PRESIDENT AND VICE PRESIDENT MANIFESTO.

  SAUTSO GENERAL ELECTION 2012/2013, THE PRESIDENT AND VICE PRESIDENT MANIFESTO.                                                VOTE FOR LEADERSHIP WITH EXCELLENCE SERVICE. S AUTSO - For effective implementation of the SAUTSO is constitution of 2008. - Join with organizations catering for students at the National or international level - Advocate for transparency, democracy rule of Law, good governance and active community participation which SAUTSO and in all possible level of leadership within and outside Tanzania. - Fight against social economic segregation, a apartheid, poverty, ignorance, corruption of diseases. - Consider gender and special groups in SAUTSO leadership  ACADEMICS - Contribute to the intellectual life of Tanzania by fathering the image of the university as a centre of excellence in terms of knowledge creation skills building. - Organize debates, seminars, conferences, study tours as to enhance intellectual awareness to the st