KIFO CHA ZAOLA PARETO TANZANIA
Zao la pareto ni miongoni mwa
mazao ambayo wakulima wamekuwa wakipunguza na kuacha kuyalima kabisa,
huenda ni kutokana na bei yake kuwa chini au soko sumbufu. Kamera ya
Benjamin Kaminyonge ilipita maeneo ya wilaya ya Makete, kata ya Matamba
na kuona zao hilo likiwa kwenye shamba la ekari moja ndani ya kijiji
kizima huku kukiwa na mazao kama mahindi, ngano, maharage na alzeti kwa
wingi. (picha: benjaminkaminyoge.blogspot.com)
Comments
Post a Comment