SAUT STUDENTS' PUBLIC RELATIONS ASSOCIATION (SSPRA) YAPATA VIONGOZI WAPYA
Uchaguzi wa kuwachagua viongozi wapya wa SSPRA kwa mwaka 2012/2013 umefanyika katika ukumbi wa B1 mwanjonde lecture Theatre katika chuo kikuu cha Mt.Augustino. Uchaguzi huu umekuwa wa mafanikio makubwa sana kwa kuwa sheria zote za uchaguzi zimeweza kuzingatiwa na wapiga kura kuweza kulidhika na viongozi wote waliowachagua kwa kuwapatia idadi kubwa ya kura za NDIO kutoka kwa wapiga kura hao ambao idadi kamili ilikuwa ni 101.Yafuatayo ni majina ya viongozi wapya pamoja na vyeo vyao ndani ya SSPRA pamoja na idadi za kura walizozipata. MWENYEKITI - CHRISTOPHER T. NGONYANI (BAPRM 2) amepata kura 100 za NDIO na kupata kura 1 ya HAPANA,,katika nafasi hii ya Mwenyekiti alikuwa mgombea pekee. MAKAMU MWENYEKITI- MSEKWA B. CHEBY (BAPRM 2) amepata kura 99 za NDIO na 2 za HAPANA,katika nafasi hii alikuwa mgombea pekee. KATIBU MKUU-MLAY P.MZEE (BAPRM 2)amepata kura 63 zidi ya Mwema F. Kihengu ambaye amepata kura 38,hivyo basi MLAY P.MZEE ndio KATIBU MKUU mpya wa nafasi hii ambayo