MVUA KUBWA NDANI YA MWANZA YASIMAMISHA MECHI YA AND 1 NA MWANZA ALL STARS

Kukosekana kwa viwanja vya ndani vimeligharimu jiji la Mwanza kukosa burudani ya Kimataifa iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na wapenzi wengi wa mchezo wa basketbal waliofurika katika dimba la CCM Kirumba hii leo mara baada ya mvua kubwa kunyesha hali iliyopelekea hali ya uwanja kuwa tete.
Huku mashabiki wa basketbal wa jiji hilo la miamba wakiwa na kiu ya kushuhudia maufundi ya wachezaji wa Mwanza All stars na wale wakali kutoka nchini marekani And 1, ilikuwa ni majira ya kumi mvua kubwa ilinyesha kwa muda mrefu hata kusababisha eneo la uwanja kuwa si salama kwa wachezaji.
Adam Mchomvu akishow love ndani ya blog





  Nilimtafutaje Hot Sauce hapa nikatokelezea naye
Maiko Maluwe ni Kaimu katibu mkuu shirikisho la mpira wa kikapu Tanzania ambaye ameambatana na timu ya And 1 jijini Mwanza naye anaeleza sababu za katisho la mchezo huo... .




 
wachezaji wa And 1 wakipasha misuli kabla ya mvua kunyeesha
Adam Mchovu na Reuben Ndege aka Ncha Kali (R) wakionyeshana maufundi

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA