KITIVO CHA ELIMU UDOM CHAIBUKA NA USHINDI WA VIKAPU 58 KWA 53 DHIDI YA DODOMA SPURS KATIKA LIGI YA MPIRA WA KIKAPU MKOANI DODOMA
Mchezaji
wa Timu ya Mkoa alipoipatia timu goli katika ligi ya mpira wa kikapu
iliyoanza leo katika viwanja vya kitivo cha sayansi ya Jamii, Sanaa na
Lugha cha Chuo Kikuu Cha Dodoma
Kashikashi ikiendelea hapo huku wengine wakitaka kushinda huku wengine wakitaka kuokoa goli lisiingie
Mchezaji
wa Timu ya Kikapu ya Dodoma Spurs (Timu ya Mkoa) akijaribu kumpita
Mchezaji wa timu ya kikapu ya kitivo cha elimu cha chuo kikuu cha Dodoma
katika mchezo wa ligi ya mpira wa kikapu iliyoanza leo na timu ya
Kitivo cha Elimu cha Chuo Kikuu Cha Dodoma Chaibuka Mshindi Kwa Vikapu
58 kwa 53 Dhidi ya Timu ya Mkoa (DODOMA SPURS)
Baadhi
ya Wanafunzi na Wadau wengine wakifuatilia mchezo huo uliokuwa
ukichezwa kati ya Timu ya Mpira ya Kikapu kutoka Kitivo Cha Elimu Cha
Chuo Kikuu Cha Dodoma Na Timu ya Dodoma Spurs (Timu ya Mkoa) ambapo timu
ya kitivo cha elimu cha Chuo Kikuu Cha Dodoma iliibuka na ushindi wa
Vikapu 58 kwa 53 dhidi ya Timu ya Mkoa Wa Dodoma (DODOMA SPURS) katika
ligi ya mpira wa kikapu inayoendelea kufanyika katika viwanja vya Kitivo
Cha Sayansi ya Jamii,Sanaa na Lugha cha Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM).
Mchezaji
wa timu ya Kitivo cha elimu cha Chuo Kikuu Cha Dodoma akijaribu kufunga
katika mechi ya ligi ya mpira wa kikapu iliyoanza leo na timu hiyo ya
walimu kuibuka washindi kwa vikapu 58 kwa 53 dhidi ya Timu ya Kikapu Ya
Mkoa Wa Dodoma
Mpira ukiingia kwenye nyavu na kupelekea timu ya kitivo cha elimu cha Chuo Kikuu Cha Dodoma kushinda
Mpira ukielekea nyavuni hapo
Comments
Post a Comment