Posts

HARUSI TRADE FAIR KUFANYIKA TAREHE 21-23 MARCH

Image

KUTOKA KWA MH. MNYIKA ANATUKUMBUSHA KUWA LEO NDIO MWISHO; OMBA UWAKILISHI KWENYE MABARAZA YA KATIBA SASA

Leo tarehe 20 Machi 2013 ni siku ya mwisho ya wananchi kuwasilisha maombi ya kuwa wajumbe wa mabaraza ya katiba ya ngazi ya wilaya ambayo yana wajibu muhimu wa kupitia rasimu ya katiba na kutoa maoni iwapo imezingatia maoni ya wananchi yaliyokunywa katika hatua ya wananchi binafsi na makundi mbalimbali katika jamii. Nawakumbusha ambao bado hamjawasilisha maombi na mna dhamira ya kutimiza wajibu huu wa kiraia na kikatiba kwa kuwasilisha barua ya maombi kwa watendaji wa mitaa/vijiji.  Kuna nafasi nane kwa kila mtaa kwa Dar es salaam, nne kwa maeneo mengine ya Tanzania Bara katika makundi yafuatayo; mwanamke, kijana, mtu mzima na mtu mwingine yoyote: kwa Zanzibar tatu kwa kila shehiya. Sifa ni raia, miaka 18 au zaidi mwenye kujua kusoma, kuandika, hekima, busara, uadilifu, uwezo wa kujieleza na kupambanua mambo ambao najua wengi mnazo. Sifa nyingine ni kuwa mkazi wa kudumu kwenye mtaa au kijiji ambayo haimaanishi kwamba ni lazima uwe mwenye nyumba, hata wapangaji mnaruhusiwa kuomba. Sio l

TO SAUT LOAN BENEFICIARIES, FEDHA YA RESEARCH IMEFIKA

KUTOKA KWA RAIS WA SERIKALI YA WANAFUNZI SAUT MH. Malisa Godlisten TO SAUT LOAN BENEFICIARIES.   Uzoefu naonesha kumekuwepo na usumbufu mkubwa wa fedha za Research kwa wanafunzi wa mwaka wa mwisho (mwaka wa 3 na wa 4). Mara nyingi fedha hizi zimekuwa zikifika kwa kuchelewa, watu wakiwa wameshamaliza chuo. Mwaka jana feha hizi zilifika mwezi August while mitihani ya kumaliza ilikuwa July. Wengi waliamua kuondoka na kusamehe fedha hizi ambazo ni haki yao. Tulipoona changamoto hii tuliapa kupigana kwa hali na mali isitokee mwaka wetu wa uongozi. Bada ya juhudi nyingi na za muda mrefu, Bodi ya mikopo wamekubali kutuletea fedha hizo mapema. Hivyo nafurahi kuwajulisha kuwa fedha za Research zimefika na kesho wataanza kusign BAED 3, BAEC 3, ADA 3, na ADPLM 3. Pongezi kwa Waziri wangu wa mikopo Bw. Deus BYera ambaye alidiriki kutumia hadi rasilimali zake biafsi(fedha, muda etc) kuhakikisha fedha za research zinafika kabla Serikali ya SAUTSO 2012/2013 haijaondoka madarakani.You can imagine ju

Kanye West - Clique ft. Big Sean & Jay-Z

Kendrick Lamar - B* Don't Kill My Vibe (Remix) ft. Jay-Z

Mzungu Kichaa - Sliver Fish

MAGAZETI YA LEO MARCH, 20

Image
. . . . . . . . . . . . .

SEMINA YA BLOG DESIGNING YAFANYIKA LEO

Image
ILE SEMINA YA KUWAWEZESHA WANACHAMA WA SSPRA KUHUSU BLOG IMEWEZA KUFANYIKA NA KUWEZA KUWA NA MWITIKIO MKUBWA SANA.  UONGOZI UNAWASHUKURU SANA KWA KUWEZA KUHUDHURIA,WALE AMBAO MLIKOSA KUFIKA BASI UNAWEZA JAPO KUTIZAMA PICHA ZILIZOCHUKULIWA WAKATI WA SEMINA. WALE WOTE AMBAO MMETENGENEZA BLOG ZENU MTUTUMIE LINK  YA BLOG YAKO INAVYOITWA KWENYE EMAIL YETU YA sspra2011@gmail.com KUWEZA KUANGALIA MAENDELEO NA KUTOA USHAURI PIA. Wanachama wakimsikiliza mwendesha mafunzo Nyanja K. Poti akitoa maelezo mbalimbali juu ya utengenezaji wa blog kwa wanachama wa SSPRA Mwenyekiti Ngonyani Christopher akiwaeleza wanachama mambo mbalimbali kuhusu chama Fredrick akitoa maelekezo kwa wanachama wenzake Katika picha ya pamoja na  mwendesha mafunzo.

MWANAMUZI WA KENYA E-SIR KESHO ANATIMIZA MIAKA 10 TANGU ALIPOFARIKI

Image
KUTOKA KATIKA PAGE  YA FACEBOK YA NONII Kesho will be 10years since the untimely passing of Kenya musical great E-Sir. He represented all the qualities of a mega star and his musical catalog is filled with hits that still bump in the club. Upcoming artists should have him as a template of how to make good timeless music. As a tribute, get out your favorite E-Sir music and bump it heavy today. E-Sir was born Issah Mmari, in May 20th 1981 in California, Nairobi, Kenya. He went through primary school at St Ann’s Junior Academy and later attended high school at Brook-House Senior School. It was during high school that E-Sir started rhyming and writing poetry initially for fun. E-Sir believed in himself, his music and his abilities as a performing artiste. And to illustrate this in his own words he once said “Industry peeps are all up in my business claiming that I am changing the game. If that is so I think Kenyans have long been awaiting the change. I love my hood, my friends, my fami

HABARI KUBWA ZA MAGAZETI YA LEO IJUMAA, MACHI 15

Image
3 . . ..... . . . . . . . . . . . . . . . SOURCE:  suleimanmagoma