SEMINA YA BLOG DESIGNING YAFANYIKA LEO

ILE SEMINA YA KUWAWEZESHA WANACHAMA WA SSPRA KUHUSU BLOG IMEWEZA KUFANYIKA NA KUWEZA KUWA NA MWITIKIO MKUBWA SANA.

 UONGOZI UNAWASHUKURU SANA KWA KUWEZA KUHUDHURIA,WALE AMBAO MLIKOSA KUFIKA BASI UNAWEZA JAPO KUTIZAMA PICHA ZILIZOCHUKULIWA WAKATI WA SEMINA.

WALE WOTE AMBAO MMETENGENEZA BLOG ZENU MTUTUMIE LINK  YA BLOG YAKO INAVYOITWA KWENYE EMAIL YETU YA sspra2011@gmail.com KUWEZA KUANGALIA MAENDELEO NA KUTOA USHAURI PIA.

Wanachama wakimsikiliza mwendesha mafunzo

Nyanja K. Poti akitoa maelezo mbalimbali juu ya utengenezaji wa blog kwa wanachama wa SSPRA


Mwenyekiti Ngonyani Christopher akiwaeleza wanachama mambo mbalimbali kuhusu chama

Fredrick akitoa maelekezo kwa wanachama wenzake



Katika picha ya pamoja na  mwendesha mafunzo.



Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA