Posts

MAGAZETI YA LEO TARAHE 24/06/2013

Image

MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA (TCRA) KANDA YA MASHARIKI WATOA SEMINA YA MAWASILIANO KWA WADAU WAO KATIKA WILAYA YA BAGAMOYO

Image
Mkurugenzi wa Huduma za Mawasiliano wa TCRA, Dk.Raynold Mfungahema,akionyeshwa na   Rajabu Husein ujumbe kwenye simu yake   wakati   alipokuwa akitoa mada   ya haki   na wajibu wa watumiaji   wa huduma za mawasiliano   katika semina   ya watumiaji wa huduma za Mawasiliano (wadau) iliyowashirikisha wakazi wa Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani.Semina hiyo iliandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Kanda ya Mashariki Mkurugenzi wa Huduma za Mawasiliano wa TCRA, Dk.Raynold Mfungahema,akimsikiliza mmoja wa wanasemina waliohudhuria    katika semina   ya watumiaji wa huduma za Mawasiliano (wadau) iliyowalenga   wawakilishi ,jumuiya mbalimbali za vijiji na vitongoji vyaWilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani.Semina hiyo iliandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Kanda ya Mashariki. Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Ahmedi Kipozi   akisalimiana na Ramadhan Said   wakati wa uzinduzi rasmi wa semina ya   wadau wa huduma za Mawasiliano   iliyowalenga wawakilishi wa jumuiya mbalimb

samsung wazindua laptop yenye uwezo wa kutumia windows 8 na android,na inaweza kugeuka na kuwa tablet

Image
kampuni ya samsung imetambulisha laptop hi mpya (tablet) iitwayo  active q yenye uwezo wa kutumia windows 8 na android operating system,active q ina ukubwa wa screen wa 13.3 inches (33.8cm) yenye high resolution 3200x1800.inauwezo wa ku slide na kuwa tablet au ikakunjuliwa na keyboard ikatumika kama stand ya laptop,samsung bado hawajatangaza kuwa laptop hyo mpya itauzwa bei gani

THE MICHELLE JENG FOUNDATION LAUNCH

Image
The MICHELLE JENG FOUNDATION was launched in Stockholm, Sweden by Tanzanian Model Michelle Jeng who aims to provide educational support to young girls living in her home country, United Republic of Tanzania. At the launch she said, “Through my foundation, I look forward to providing hope to young girls who shall be the leaders of tomorrow and provide for their education that shall be the catalyst to the change in their lives” The Michelle Jeng Foundation was officiated by Dr Mwele Malecela. Dr. Mwele Malecela officiating Michelle Jeng foundation Fashion show during the launching of Michelle Jeng foundation Guest of Honour Dr. Mwele Malecera giving a speech Michelle Jeng speaking at the lauching of her foundation Michelle Jeng with some of the guests at the launch Overview of the launch Michelle Jeng is a well known Swedish model with Tanzanian/Senegalese heritage. Born and brought up in Sweden, she entered the modeling

PICHA ZA SHOW YA MWANA FA

Image
KUTOKA www.thechoicetz.com PICHA  ZA  SHOW  YA  MWANA  FA Dully Sykes Na Mwana FA Katika Usiku Wa The Finest Kama Zamani @ Makumbusho Ya Taifa Dar Es Salaam. Mwana FA On Stage @ Makumbusho Ya Taifa "The Finest" Kama Zamani. Linah, Mwana FA Na Maua On Stage @ Makumbusho Ya Taifa Dar Es Salaam.  Wahudhuriaji wa "The Finest" Kama Zamani wakiwa wanaenjoy burudani classic kutoka kwa Mwana FA. Asma Makau, Jojo, Shadee & A Friend Wakiwa Nje Ya Ukumbi Wa Makumbusho Ya Taifa Dar Es Salaam Wakiingia ndani kwa ajili ya "The Finest" Kama Zamani Ijumaa 14/6/2013. Vanessa Mdee na Dozen katika viwanja vya Makumbusho Ya Taifa Dar Es Salaam kabla ya "The Finest" Kama Zamani Show.

PICHA ZA SHOW YA LADY JAYDEE NYUMBANI LOUNGE.... WATU WALIJAA MPAKA WAKAANZA KUBEBANA

Image
Mwanadada Judith Mbibo aka Lady Jaydee usiku wa kuamkia Jumamosi ya June 15 amefanikiwa kuweka historia kwenye muziki wa Tanzania kwa kulijaza eneo zima la Nyumbani Lounge alipokuwa akifanya show yake ya kuadhimisha miaka 13 tangu aanze muziki.  Katika show hiyo, Lady Jaydee amesindikizwa na wasanii mbalimbali wakiwemo Juma Nature, Sugu, Profesa Jay, Wakazi, Grace Matata na wengine. Pia Jaydee ameitumia siku hiyo kuzindua albam yake mpya, Nothing But The Truth na kusherehekea siku yake ya kuzaliwa. Hizi ni picha za show hiyo. Picha  kwa  hisani  ya  Bongo5

DOWNLOAD NA SIKILIZA Becka Title ft.Mirror Blue-Usiku Wa Leo.[Prod.Teaz Villah Kita]

BINADAMU MWENYE UMRI MKUBWA DUNIANI AMEFARIKI AKIWA NA MIAKA 116

Image
Jiroemon Kimura wa Japan  ndiye binadamu  aliyeaminika kuwa ana umri mkubwa kuliko  yeyote duniani,amekufa akiwa na mri wa miaka 116 Aliwahi kuulizwa ni  nini siri ya mafanikio yake raia huyo wa Japan alisema ni kula chakula kidogo au kwa kiasi . Kwa mujibu wa kitabu cha Guinness ni mtu wa kwanza kufariki akiwa na umri wa miaka 116. Sasa binadamu mwenye umri mkubwa kuliko wote ni raia mwingine wa Japan Misao Okawa, wa Osaka. Jiroemon Kimura alizaliwa 19 april 1897 na  amefariki 11 june 2013.

SIKILIZA NA DOWNLOAD NYIMBO MPYA YA LADY JAY DEE...."YAHAYA"

HII NDO LIST NZIMA YA WASHINDI WA TUZO ZA KILLLIMANJARO MUSIC AWARDS- 2013

Image
Usiku wa tuzo za KTMA ulipambwa na burudani ya aina yake kutoka kwa wasanii mbalimbali wakiwemo Linah, Amini, Richie Mavoko, Mataluma, Hussein Jumbe, Zahir Zorro, Patricia Hillary na Barnaba. Wengine ni Snura, Godzilla, Mabeste, Madee na Afande Sele. Host wa tuzo hizo mwaka huu alikuwa ni Zembwela na TJ. Hii ni list nzima ya tuzo hizo. Wimbo bora wa mwaka Dear God – Kala Jeremiah Msanii bora wa Kiume Diamond Msanii bora wa kike Lady Jaydee Msanii bora wa kike Taarab Isha Mashauzi Msanii bora wa kiume Taarab Mzee Yusuf Msanii bora wa kiume Bongo Flava Diamond Msanii bora wa kike Bongo Flava Recho Msanii bora wa Hip Hop Kala Jeremiah Msanii bora wa kiume Bendi Chalz Baba Msanii bora wa kike Bendi Luiza Mbutu Msanii bora anayechipukia Ally Nipishe Video bora ya mwaka Baadaye – Ommy Dimpoz Mtunzi bora wa mashairi Taarab Mzee Yusuf Mtunzi bora wa mashairi B

HAPPY BIRTHDAY CLASS MATE ELIADETHA EMMANUEL

Image
A birthday is a million moments, Each holding a promise of fulfillment of your dreams and accomplishments of some special plans May all your dreams and wishes come true!! Happy birthday!!