Posts

VIDEO:ULIMISS KUANGALIA COKE STUDIO WAKATI DIAMOND AKIPERFORM?ANGALIA HAPA

Naseeb Abdul aka  diamond platnumz ni msanii anayetishakatika ukanda wa Afrika Mashariki katika miondoko ya  bongoflava kwa sasa.tokea atoke na ngoma yake ya kamwambie Naseeb hajawai kuzimika katika ulimwengu wa muziki wa bongo. Diamond ni moja ya wasanii anayejituma sana katika muziki huu wa bongo fleva na kila kukicha amekuwa ni mbunifu wa kuongeza thamani kwa kile anachokifanya,akiwa na zaidi ya nyimbo 130 kwenye library yake,week iliyopita alionekana ndani ya Coke studio na kuirudia ngoma ya temptation na msanii HHP kutoka Afrika ya kusini,hii imemfanya diamond kubadilika kimziki na kuonyesha style nyingine ambayo imemfit pia. Akiwa na umri wa miaka 24 tu kwa sasa , Diamond alianza muziki tokea akiwa na miaka 13 na alikua akicopy baadhi ya miziki na baadae baada ya kujiunga na sekondari mama yake mzazi alimwambia aachane na muziki lakini mzee mzima alikomaa na kufight hadi kufika alipo kwa sasa. Alipokwenda Coke studio diamond aliirudia ngoma ya "temptation" ya

VIDEO: NAKUPENDA PIA - WYRE FT. ALAINE (OFFICIAL VIDEO) LOVECHILD RECORDS

VIDEO:ANGALIA WIMBO WA Alaine- "You Are Me"

MUSIC: Download na Kusikiliza wimbo wa Nikki Mbishi - "Yote Sawa"

MAHOJIANO: HIKI NDO NILITAKA KUJUA KUTOKA KWA STEVE WA YANGA,ANGALIA HII VIDEO KUTOKA KWA MILLARD AYO

Thanks To Millard Ayo for this Video, nilitaka kujua je Steve wa Yanga angereact nini baada ya simba kurudisha magoli yote 3, imenifurahisha sana kwa kuwa nilichokitegemea kutoka kwake ndicho hicho hicho alichokifanya kwa kuanza vizuri kuongea mara baada ya hapo akaanza kupanic......

HUSSEIN MACHOZI AWAFUNGUKIA KUPITIA PAGE YAKE YA FB WANAOFATILIA NDOA YAKE

Image

MUSIC:DOWNLOAD NA SIKILIZA SIRI YA MCHEZO YA FID Q FT SIR JUMA NATURE

MUSIC: SIKILIZA NA DOWNLOAD B_SHINER "KAMWAMBIE MAMA"PRODUCED BY DIVAI(CREATIVITY MUSIC PRODUCTION

Majina ya vyuo 9 vilivyofutwa na Serikali kwa kukosa sifa.

Serikali kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi  imevifuta vyuo ambavyo havina sifa ikiwamo kukosa usajili wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) na kufundishwa na walimu wasio na sifa.  Vyuo vilivyotangazwa kufutwa ni:- 1.Media and Values Training Institute(Dar es Salaam) 2.Information Technology Training Center(Dar es Salaam) 3.Dar es Salaam School of Hair Design (Dar es Salaam) 4.Morogoro School of Medical Sciences (Morogoro) 5.Media and Research Center 6.Vision Hotel and Tourism College 7.East Africa College of Hospitality and Tourism 8.The Africa Institute of Business Management 9.Aspiration Training Center Naibu Waziri wa Wizara husika , Philip Mulugo, alitangaza hatua hiyo wakati alipokutana na Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii, katika ofisi ndogo za Bunge jijini Dar es Salaam.  Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Profesa Sifuni Mchome, alisema Serikali ilishatangaza kuwa vyuo visivyo na sifa vifungwe lakini tatizo likawa ni jinsi ya kuwatafutia wanafu

WASHINDI WA BODABODA NA MKWANJA COCA COLA KANDA YA ZIWA HAWA HAPA.

Image
SOURCE: gsengo Meneja wa masoko kampuni ya Soda za jamii ya Coca cola kiwanda chaNyamza Bottling Co. LTD Marco Masaka (kushoto) akimkabidhi ufunguo mshindi wa pikipiki (Bodaboda) Sabuni Selya kutoka Malampaka wilaya ya Maswa mkoani Shinyanga katika hafla ya makabidhiano iliyofanyika kiwandani jijini Mwanza. Meneja wa masoko kampuni ya Soda za jamii ya Coca cola kiwanda chaNyamza Bottling Co. LTD   Marco Masaka (kushoto)  akimkabidhi ufunguo mshindi wa pikipiki (Bodaboda)  Julius Onesmo kutoka jijini Mwanza. Meneja wa masoko kampuni ya Soda za jamii ya Coca cola kiwanda chaNyamza Bottling Co. LTD  Marco Masaka (kulia)  akimkabidhi ufunguo mshindi wa pikipiki (Bodaboda)  Emanuel Musa kutoka Ng'ungumalwa Kwimba.  Meneja wa masoko kampuni ya Soda za jamii ya Coca cola kiwanda chaNyamza Bottling Co. LTD  Marco Masaka (kushoto)  akimvisha kofia ngumu mara baada ya kumkabidhi ufunguo mshindi wa pikipiki (Bodaboda)  Samwel Mashauri kutoka Maganzo mkoani Shinyanga.

PICHA: MASHABIKI WA DIAMOND WATUMA PICHA ZIKIONYESHA MAPOZI KAMA YAKE:

Image
 Kama unafatilia habari za mastaa wa Marekani utafahamu kuwa hii issue alishawahi kufanya rapper Nicki Minaj wa Young Money, Aliomba mashabiki watume picha wakiwa wamevalia mavazi kama yake na pozi zaki Nicki Minaj, Well Bongo Super Star Diamond amefanya yake kwenye instagram. Picha zaidi ziko hapa.

USIKU WA "Habari ya Mjini"PNC NDANI YA BASEMENT CLUB ALHAMIS HII

Image
King's Entertainment once again presents 2 u Usiku wa "Habari ya Mjini" ndani ya Basement club pele DenFrance Hotel sinza..... Uzinduzi wa ngoma mpya ya Pnc akisindikizwa na Dogo Janjarooo!! So fanya kusogea hyo siku!!!! Mtonyooo ni nyekundu moja tuu!!!! T-shirt kama kawa!!!!!