WASHINDI WA BODABODA NA MKWANJA COCA COLA KANDA YA ZIWA HAWA HAPA.
![]() |
Meneja wa masoko kampuni ya Soda za jamii ya Coca cola kiwanda chaNyamza Bottling Co. LTD Marco Masaka (kushoto) akimkabidhi ufunguo mshindi wa pikipiki (Bodaboda) Julius Onesmo kutoka jijini Mwanza. |
![]() |
Washindi wa bodaboda ndiyo hawa na zawadi zao. |
![]() |
Sasa ikawa zamu ya Sospeter Lawrent kutoka Ngudu mkoani Mwanza kuondoka na kitita cha shilingi laki tano. |
![]() |
Naye Shinubi Luhende (kushoto) kutoka wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga akaondoka na shilingi laki moja taslimu. |
![]() |
Lucy Wilson kutoka Ng'ungumalwa akaondoka na kiasi cha shilingi laki moja. |
![]() | |||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
Picha ya washindi wote kwa pamoja ndani ya kiwanda cha Nyanza Bottling Limited Mwanza |
Comments
Post a Comment