Posts

KUTANA NA DR.SEBASTIAN NDEGE KUJIFUNZA NJIA ZA UJASILIAMALI

Image
Kutana na Dr.Sebastian Ndege pale Tumaini University.Kurasini Campus leo kuanzia majira ya saa 9 mchana usikose.mwambie na mwenzio.

RAPPER WARREN G, KUJA NA PROJECT MPYA YA KUWATOA KIMUZIKI RAPPERS WANAOJIHUSISHA NA MAPENZI YA JINSIA MOJA.

Image
Warren G Tanzania na nchi zingine za kiafrika zikiendelea kupinga vitendo vya kishonga ambavyo viko kinyume na maadili ya kiafrika, Rapper mkongwe na producer wa muziki wa hip hop kutoka West Coast, Warren G ameibuka na  kuiambia website ya Huffington Post wakati wa interview kwamba yuko tayari kuwasaidia ma rappers ambao wanajihusisha na vitendo vya kishoga na mapenzi ya jinsia moja (homosexuality) nchini Marekani waweze kutoka kimuziki. Warren G amedhibitisha kuwa yeye mwanyewe kuwa ana binamu yake ambaye anajihusisha na vitendo hivyo vya kishoga, lakini hawezi kupinga uamuzi wa ndugu yake huyo, anasema "siwezi kumchukia mtu yoyote mwenye kujihusisha na tabia hii ya kishoga kama mtu ni shoga ni shoga tu" Warren G amesema kwamba kabla hajaanza kutoa support yake kwa mashoga ambao ni rappers tayari amedhibitisha kuwepo kwa rappers ambao wapo katika muziki tayari na wenye majina makubwa na wengine wanaohitaji kutoka kimuziki. “I don’t have no ha

Tanesco yafafanua kuhusiana na kukatika kwa umeme nchi nzima.

Image
              Felchesim Mramba Tanesco yatoa ufafanuzi kuhusiana na kukatika kwa umeme nchi nzima.  Baada ya kukatika kwa umeme majira ya saa moja na dakika shirini na tatu na kusababisha karibu mikoa yote ambayo imeunganishwa na Gridi ya taifa kukosa nishati ya umeme na kusimamisha shughuli za bunge ikiwemo zoezi la upigaji wa kura ya bajeti ya serikali, mkurugenzi mtendaji wa shirika la umeme nchini Tanesco mhandisi Felchesim Mramba ametoa afafanuzi juu ya kukatika huko kwa umeme na kubainisha kuwa mafundi wa shirika hilo wanaendelea kufanya uchunguzi nini kimesababisha tatizo la kukatika kwa umeme na kusababisha usumbufu kwa wateja wa Tanesco. SOURCE:ITV

MAGAZETI YA LEO JUMATANO HAYA HAPA.

Image
CREDIT:MJENGWA.

LULU AKANUSHA KUSHIRIKISHWA KWENYE WIMBO MPYA WA MAPACHA, "TIME FOR THE MONEY"

Image
Elizabeth Michael aka LULU, kupitia mtandao wa Instagram ameandika post ambayo ni tata kwa kutokutambua kushiriki kwake katika wimbo wa mapacha ambao umetambulishwa jana katika kipindi cha XXL kinachorushwa na kituo cha Clouds fm unaoenda kwa jina la “Time for the Money’ Lulu amepost na kusema maneno haya "Mwe mwe mwe...!Mbona mnaninyasanyasa...'in Senga's voice' I swear sina idea na Huku kushirikishwa....au kuna Elizabeth Michael'Lulu' mwingine!???? Dah...hebu mliosikia hyo nyimbo labda mniambie😳😳😳😳Mana nashirikishwa ki miujiza jmn😩😩

PICHA:JAY Z NA BEYONCE WATOA PICHA MPYA ZA MAANDALIZI YA TOUR, MARA BAADA YA UGOMVI WA JAY Z NA SHEMEJI YAKE SOLANGE

Image
Mara baada ya sekeseke lililomkuta Jay Z na shemeji yake Solange kuzua taflani mwezi Mei wakiwa kwenye lift na hatimaye Solange kuonekana akimrushia ngumi na mateke Jay Z hatimaye camera za kiusalama kunasa tukio ilo, Jay Z amekuwa mtu wa kujificha na kutokuonekana kwenye hadhira ya watu. Jay Z na mkewe Beyonce wametoa picha kwa mara ya kwanza baada ya ugomvi wa Jay Z na shemeji yake Solange, picha za wanandoa hawa wamezitoa wakifanya mazoezi ya pamoja ya kujiandaa na tour yao ya kimuziki inayojulikana kama "on the run" Tour inayotarajiwa kuwa kubwa sana kuwahi kutokea katika tasnia ya muziki.Forbes wameripoti kuwa  hii tour ndio itakuwa ya pili kwa ukubwa na yenye mafanikio katika kipindi chote cha tour hizi za kimuziki kuweza kufanyika. Tour hii inatarajiwa kuanza rasmi tarehe  25, June katika uwanja wa "Sun Life Stadium katika uko Miami,FL.

MAGAZETI YA LEO JUMANN, 24/06 SOMA HAPA.

Image