LULU AKANUSHA KUSHIRIKISHWA KWENYE WIMBO MPYA WA MAPACHA, "TIME FOR THE MONEY"


Elizabeth Michael aka LULU, kupitia mtandao wa Instagram ameandika post ambayo ni tata kwa kutokutambua kushiriki kwake katika wimbo wa mapacha ambao umetambulishwa jana katika kipindi cha XXL kinachorushwa na kituo cha Clouds fm unaoenda kwa jina la “Time for the Money’

Lulu amepost na kusema maneno haya "Mwe mwe mwe...!Mbona mnaninyasanyasa...'in Senga's voice' I swear sina idea na Huku kushirikishwa....au kuna Elizabeth Michael'Lulu' mwingine!???? Dah...hebu mliosikia hyo nyimbo labda mniambie😳😳😳😳Mana nashirikishwa ki miujiza jmn😩😩


Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA