RAPPER WARREN G, KUJA NA PROJECT MPYA YA KUWATOA KIMUZIKI RAPPERS WANAOJIHUSISHA NA MAPENZI YA JINSIA MOJA.


Warren G
Warren G

Tanzania na nchi zingine za kiafrika zikiendelea kupinga vitendo vya kishonga ambavyo viko kinyume na maadili ya kiafrika, Rapper mkongwe na producer wa muziki wa hip hop kutoka West Coast, Warren G ameibuka na  kuiambia website ya Huffington Post wakati wa interview kwamba yuko tayari kuwasaidia ma rappers ambao wanajihusisha na vitendo vya kishoga na mapenzi ya jinsia moja (homosexuality) nchini Marekani waweze kutoka kimuziki.

Warren G amedhibitisha kuwa yeye mwanyewe kuwa ana binamu yake ambaye anajihusisha na vitendo hivyo vya kishoga, lakini hawezi kupinga uamuzi wa ndugu yake huyo, anasema "siwezi kumchukia mtu yoyote mwenye kujihusisha na tabia hii ya kishoga kama mtu ni shoga ni shoga tu" Warren G amesema kwamba kabla hajaanza kutoa support yake kwa mashoga ambao ni rappers tayari amedhibitisha kuwepo kwa rappers ambao wapo katika muziki tayari na wenye majina makubwa na wengine wanaohitaji kutoka kimuziki.

“I don’t have no hate toward any of that. If a person’s gay, they gay!” Before stating his support, Warren G revealed that there are secretly ” artists out there who are– who want to come out and rap.”
If they is another artist out there that’s like that, ain’t nobody acting funny with Frank Ocean. He still do what he do and ain’t nobody trippin’ or acting funny with him because he’s gay.
 Angalizo: Sio kila kitu kinachofanywa na watu kutoka mashariki ya mbali kipokelewe kama kilivyo, vingine yatupasa kuviacha kwa kuwa havina kichwa wala miguu katika utamaduni wetu, bali ni kutengeneza taifa lililopotea na lisilokuwa na heshima.Nampongeza rais wa Uganda kwa kupitisha sheria kali inayopinga mapenzi ya jinsia moja.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA