PICHA:JAY Z NA BEYONCE WATOA PICHA MPYA ZA MAANDALIZI YA TOUR, MARA BAADA YA UGOMVI WA JAY Z NA SHEMEJI YAKE SOLANGE

Beyonce-Jay-Z

Mara baada ya sekeseke lililomkuta Jay Z na shemeji yake Solange kuzua taflani mwezi Mei wakiwa kwenye lift na hatimaye Solange kuonekana akimrushia ngumi na mateke Jay Z hatimaye camera za kiusalama kunasa tukio ilo, Jay Z amekuwa mtu wa kujificha na kutokuonekana kwenye hadhira ya watu.

Jay Z na mkewe Beyonce wametoa picha kwa mara ya kwanza baada ya ugomvi wa Jay Z na shemeji yake Solange, picha za wanandoa hawa wamezitoa wakifanya mazoezi ya pamoja ya kujiandaa na tour yao ya kimuziki inayojulikana kama "on the run" Tour inayotarajiwa kuwa kubwa sana kuwahi kutokea katika tasnia ya muziki.Forbes wameripoti kuwa  hii tour ndio itakuwa ya pili kwa ukubwa na yenye mafanikio katika kipindi chote cha tour hizi za kimuziki kuweza kufanyika.

Tour hii inatarajiwa kuanza rasmi tarehe  25, June katika uwanja wa "Sun Life Stadium katika uko Miami,FL.


MG_6910

MG_6980 MG_7490 MG_8041 MG_8177 MG_8194 MG_8284


Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA