Posts

YANGA VS AZAM NGOMA DROO, WATOKA SARE YA 2-2

Image
Mshambuliaji wa Yanga, Danny Mrwanda (kulia) akijaribu kumtoka beki wa Azam FC. Kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima akiwa kazini wakati wa mechi ya leo dhidi ya Azam FC. TIMU za Yanga na Azam FC leo zimeshindwa kutambiana baada ya kutoka sare ya bao 2-2 kwenye mtanange wa Ligi Kuu Bara uliopigwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Mabao ya Azam yamewekwa kimiani na Didier Kavumbagu katika dakika ya 5… Mshambuliaji wa Yanga, Danny Mrwanda (kulia) akijaribu kumtoka beki wa Azam FC. Kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima akiwa kazini wakati wa mechi ya leo dhidi ya Azam FC. TIMU za Yanga na Azam FC leo zimeshindwa kutambiana baada ya kutoka sare ya bao 2-2 kwenye mtanange wa Ligi Kuu Bara uliopigwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Mabao ya Azam yame

NDEGE NYINGINE TENA YAPOTEA NI AIR ASIA

Image
  Bado dunia imebaki njia panda juu ya wapi ilipo ndege ya Malaysia Airlines 370 ambayo ilikuwa na abiria 239, ilipotea miezi zaidi ya nane iliyopita ikitokea Malaysia kwenda China, ndege nyingine imepotea, ilitokea Singapore kwenda Indonesia. Iliyopotea saa chache zilizopita ni AirAsia qz 8501,  ilikuwa na abiria 162 wengi wao walikuwa raia wa Indonesia na Uingereza imethibitisha kuwa kuna mtu mmoja raia wa nchi hiyo alikuwa akisafiri na mtoto wake. Ndege ilipotea wakati rubani alipolazimika kubadili mwelekeo wa ndege hiyo pasipo kuomba mwelekeo kutoka kwa waongozaji kutokana na hali mbaya ya hewa. Ndugu, jamaa na marafiki wa watu waliokuwa wakisafiri kwa ndege hiyo wamejikusanya katika uwanja wa ndege wa Surabaya Indonesia , wakisubiri kupata taarifa yoyote itakayokuwa na matumaini kwao. Baadhi ya vikosi vinavyotafuta ndege hiyo vimesitisha zoezi hilo kutokana na hali mbaya ya hewa huku vingine vikiendelea.

50 CENT ACHUKIZWA NA TABIA YA ONGEZEKO LA MAUAJI YA WATU WEUSI MAREKANI

Image
Mwaka hauishi vizuri kwa Raia wa Marekani ambao wana asili ya Afrika, ile story ya ubaguzi ambayo huenda Dunia ilidhani imekwisha imechukua sura mpya kila kunapokucha, kinachosababisha story kuwa kubwa zaidi ni kitendo cha hali hiyo kujitokeza ndani ya Taifa la Marekani. Tumeona Marekani ikiwa mstari wa mbele kupambana na vingi, hii ishu ya ubaguzi wa rangi ni changamoto kubwa taifa hilo kwa sasa. Wameuawa wengi tayari ndani ya kipindi kifupi, watu hao wenye asili ya Afrika wameandamana na kutumia njia mbalimbali kuonyesha hawakuridhishwa na Mahakama kuwaachia huru Askari ambao wamefanya mauaji hayo. Kutokana na matukio hayo ya mauaji kuendelea kujitokeza rapper  50 Cent , ameamua kuvunja ukimya na kujitokeza kuelezea kukasirishwa kwake na matukio hayo ya mauaji na kupost picha ya  Hayati  Mahatma Gandhi  iliyoandikwa “ An eye for an eye makes the whole world blind “. Kisha akaandika ujumbe wa kuwafariji waliopata athari kutokana na tukio hilo; “ Condolences to the family

Idris Elba Ajibu Mashambulizi Ya Waliomponda Sababu Ya Rangi Yake baada ya kutengeneza movie na kuigiza kama James Bond

Image
Staa wa filamu ya The ‘Mandela: Long  Walk to Freedom   Idris Elba ametoa mtazamo wake kuhusu uvumi kuwa anatarajiwa kuchaguliwa kuigiza kama James Bond kwenye filamu za 007  zijazo. Kilichopeleka Idris kutoa mtazamo wake ni maneno mabaya ya ubaguzi yaliyotolewa na baaddhi ya mashabiki wa filamu hio kutoka Uingereza waliosema Idris ni mweusi ha wawezi kuwa James Bond kwa  sababu ya rangi yake. Kupitia twitter Idris ameandika “ Isn’t 007 supposed to handsome? Glad you think I’ve got a shot! Happy New year people, ” Twit ya Idris inamaana ”  Si 007 anatakiwa awe na mvuto ? nashukuru mnaodhani natakiwa kupata nafasi hii, heri ya mwaka mpya watu “ Limbaugh amesema  husika ya James Bond ilitengenezwa na  Ian Fleming kachero aliyefanya kazi  MI6 ya Uingereza na James Bond alikuwa mweupe na Mscottish . Aliendelea kusema  tumekuwa na James Bond weupe kwa miaka 50 sasa , nilazima awe Mscottish na awe anakunywa vodka iliyotingishwa na sio kukorogwa .

MAGAZETI YA LEO JUMAPILI, DECEMBER 28 YAPO HAPA

Image
. . . . . . . . . . . . . . . . .

GOOD NEWS: VANESSA MDEE ASHINDA TUZO NCHINI NIGERIA YA BEST FEMALE EAST AFRICA

Image
Kupitia ukurasa wake wa instagram, msanii wa muziki wa kizazi kipya na mtangazaji wa kituo cha Choice Fm,Vanessa Mdee aka V-Money kaandika "To God be the glory, Thank you soo much for voting. I love you"#BestFemaleEastAfrica #Tanzania amewashukuru mashabiki wake kuashiria ushindi huo alioupata katika kipengele cha Best Female EastAfrica nchini Nigeria kupitia tuzo za AFRIMA

NEW VIDEO: BONGE MOJA LA KICHUPA "SHAKE SHAKE" YA MSAMI

Naileta kwenu video mpya ya Msanii Msami inaitwa Shake Shake na imetayarishwa na kuongozwa na Aby Kaz

RATIBA YA LIGI YA MABINGWA AFRIKA 2015 HII HAPA

Michuano ya ligi ya Mabingwa barani Afrika mwaka 2015 imepangwa kuanza kuchezwa Februari 13 mwaka 2015. Ratiba ya duru ya kwanza, mzunguko wa 16 wa fainali na mzunguko wa 8 ya michuano ya kifahari ya vilabu barani Afrika imepangwa ifuatavyo: Duru ya kwanza Mchuano wa kwanza  : Mbabane Swallows (Swaziland) vs Zesco (Zambia) Mchuano wa 2  : Séwé Sport (Côte d’Ivoire) vs AS Kaloum (Guinea) Mchuano wa 3  : USM Alger (Algeria) vs Foullah Edifice (Chad) Mchuano wa 4  : AS Pikine (Senegal) vs Etoile Filante Ouagadougou (Burkina Faso) Mchuano wa 5  : Al Hilal (Sudan) vs Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo (Zanzibar) Mchuano wa 6  : Fomboni Club de Moheli (Comoro) vs Big Bullets (Malawi) Mchuano wa 7  : CD Libolo (Angola) vs SM Sanga Balende (DR Congo) Mchuano wa 8  : Kampala CC (Uganda) vs Cosmos de Bafia (Cameroon) Mchuano wa 9  : Azam (Tanzania) vs Al Merreikh (Sudan) Mchuano wa 10  : Lydia Ludic (Burundi) vs Kabuscorp (Angola) Mchuano wa 11  Sony de Ela Nguema (Equatorial Guinea) vs

NDOA ZA MIKEKA TISHIO ZANZIBAR

Kuongezeka kwa ndoa za mikeka kumesababisha kuongezeka kwa talaka katika Mahakama Kuu Z’bar ambapo mwanaharakati wa Chama cha Wanahabari, Amina Talib amesema ndoa hizo ambazo zinafahamika pia kama ndoa za kukamatiwa zinaharibu mfumo mzima wa maisha. Amina alisema katika Ripoti zilizotolewa na chama hicho, Mahakama za kadhi ambazo zimekuwa na majukumu ya kusikiliza kesi za ndoa na mirathi zimeelemewa na idadi kubwa ya maombi ya talaka huku watendaji wa Mahakama hiyo wakilaumu wananchi kutochukua hatua yoyote kunusuru hali hiyo. Wazazi wametakiwa kuwalea watoto wao kwa maadili ili kukwepa vitendo vya ushawishi wa kuingia katika uhusiano wa kimapenzi kabla ya umri.

HABARI MPYA KWA WATUMIAJI WA WHATSAPP SASA UTAWEZA KUPIGA NA KUPOKEA SIMU

Image
Baada ya facebook kuinunua Whatsapp, kumekuwa na mabadiliko ya features mbalimbali  katika kuiboresha App hii kuwa bora zaidi duniani kwa kukidhi mahitaji ya watumiaji. Mwezi uliopita walianzisha uwezo wa kujua kama mtu uliyemtumia ujumbe kama ameupata na kuusoma kabisa kwa kubadili alama za tick na kuwa za blue.  Wataalam wa mtandao huu wameendelea kugundua na kuongeza features zingine, wakati huu wako katika majaribio ya mtumiaji wa whatsapp kuweza kupiga simu na kupokea simu kutoka kwa mtumiaji mwingine anayetumia pia app ya whatsapp Majaribio ya huduma hii ya kupiga na kupokea simu kwa kutumia whatsapp yameanza huko Uholanzi na kuchukua screenshot hii ya majaribio. Tegemea hivi karibuni kuanza kupiga simu kwa kutumia whatsapp

PICHA: AGNESS MASOGANGE AACHI VITUKO VYA KUPOST PICHA ZINAZOONYESHA UMBILE LAKE, JIONEE MWENYEWE

Image

HUKU MKEWE AKISOTA GEREZANI, MISS TZ AOLEWA NA MUME WA JACK PATRICK

Image
DUNIA  ina mambo! Wakati mkewe mwanamitindo Jacqueline Fitzpatrick Cliff ‘Jack Patrick’ akiwa nyuma ya nondo kwa msala wa madawa ya kulevya ‘unga’ nchini China, mumewe, Abdulatif Fundikira ‘Tif’ amefunga ndoa ya siri na Miss Tanzania 2011, Salha Israel. Mume wa ‘Jack Patrick’, Abdulatif Fundikira ‘Tif’ akifunga ndoa ya siri na Miss Tanzania 2011, Salha Israel(liyeshika karatasi). TUJIUNGE NA CHANZO Kwa mujibu wa chanzo makini, uhusiano wa Salha na Tif uliibuka na kushamiri mwaka jana baada ya Jack kukamatwa na unga huo.“Penzi lao liliibuka ghafla tu, jamaa naona ana ‘aleji’ na warembo wenye majina yao maana penzi lake na Jack lilipoyumba na kisha mrembo huyo kukamatwa na madawa ya kulevya nchini China, fasta akaanzisha uhusiano na Salha,” kilisema chanzo hicho. UMAARUFU WA JACK UPOJE? Jack ni mshiriki wa Miss Tanzania mwaka 2006 akitokea Miss Ilala lakini umaarufu wake ulizidi kukua baada ya kushiriki kama ‘video queen’ katika video mbalimbali za wasanii wa muziki wa Bon