Posts

MAGAZETI YA LEO IJUMAA YAPO HAPA

Image

WALEMAVU WAFUNGA BARABARA KARUME-ILALA JIJINI DAR

Image
Baadhi ya Walemavu wakijadiliana jambo huku wakisubiri hatma ya mgomo wao kutatuliwa. UMOJA wa Walemavu Wafanyabiashara Mkoa wa Dar es Salaam (Uwawada),wamefunga barabara ya Uhuru na Kawawa kushinikiza serikali kutoa maelezo kuhusiana na uvunjaji wa meza katika soko la Machinga Complex unaodaiwa kufanywa na askari wa jiji usiku wa jana. Wafanyabiashara hao wamekaa katikakati ya barabara kwenye makutano ya Barabara ya Uhuru na Kawawa karibu na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, ikiwa na lengo kutaka maelezo ya serikali kuu juu kufanya operesheni usiku bila kufanya ushirikishaji kwa wahusika. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, Kidumuke Kidumuke amesema meza za walemavu zilizopo machinga Compelex ziliwekwa kutokana na makubaliano na kuamuliwa kuweka meza hizo, lakini wamevunja utaratibu waliokubaliana, hivyo kuamua kufunga barabara bila utaratibu. Kidumuke amesema kutokana uvunajaji huo walemavu baadhi wamepotelewa na mali zao na hakuna mtu am

Kala Pina" atangaza nia ya Ubunge Kinondoni kupitia CUF

Image
Mgombea wa nafasi ya Ubunge wa Chama cha Wananchi, CUF Masoud "Kala Pina" akinadi sera zake wakati wa uchaguzi wa ndani wa kura za maoni uliofanyika Kinondoni jijini Dar es Salaam.

SOMA MAGAZETI YA LEO ALHAMIS, MEI 21

Image
MAGAZETI LEO ALHAMISI Thursday, 21 May 2015  Written by   Mjengwa Blog   Email  Add new comment   Share on facebook Share on google_plusone_share Share on twitter Share on linkedin

Mahakama:Watoto wa Vigogo BoT Wanaokabiliwa na Tuhuma za Kughushi Vyeti Wana Kesi ya Kujibu

Image
WAFANYAKAZI wanane wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), wanaokabiliwa na tuhuma za kughushi vyeti vya kidato cha nne  wamekutwa wana kesi ya kujibu.   Uamuzi huo ulitolewa jana na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kupitia ushahidi wa mashahidi wanane wa upande wa mashtaka na kuona kwamba kuna haja kwa washtakiwa kujitetea.   Washtakiwa katika kesi hiyo ni Justina Mungai, Christina Ntemi, Siamini Kombakono, Janeth Mahenge, Beata Massawe, Jackline Juma, Philimina Mtagurwa na Amina Mwinchumu. Uamuzi huo ulitolewa na Hakimu Mkazi, Nyigulila Mwaseba, wakati kesi hiyo inaendeshwa na Wakili wa Serikali Mwandamizi, Shadrack Kimaro.    “Mahakama imepitia ushahidi wa mashahidi wanane wa upande wa Jamhuri, imeuona kwamba ushahidi huo una nguvu, hivyo washtakiwa mna kesi ya kujibu, mnatakiwa kujitetea,”  alisema Hakimu Mwaseba.   Baada ya kusema hayo mahakama iliahirisha kesi hiyo  hadi Juni 17 na 18 mwaka huu, kwa ajili ya washtakiwa kuanza kujitetea.   Kwa mujibu

Wanafunzi wagoma Vyuo Vikuu Dar es Salaam: Mlimani na St. Joseph

Image
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) sehemu ya Mlimani wameanza mgomo wa kluingia madarasani kuendelea na masomo na kukufanya mkutano chuoni hapo kwa lengo la kuishinikiza serikali kuwalipa fedha zao za kujikimu ambazo kwa mujibu wa mkataba zinatakiwa kulipwa wiki ya 8 baada ya kusainiwa kwa mkataba baina yao na serikali lakini mpaka sasa wameingia wiki 11 bila kuwapo malipo hayo. Wakizungumza na vyombo vya habari katika viwanja vya Chuo hicho, wanafunzi hao wamesema tatizo hilo limekuwa likijirudia mara kwa mara na kuwasababishia usumbufu mkubwa wa kulipa madeni yao, ilhali serikali ikiwa inatambua wazi kuwa mtu yeyote hawezi kuishi bila kuwa na pesa ya kujikimu hususani kwa mkoa wa Dar es Salaam ambao maisha yake yametajwa kuwa juu maradufu. Wamesema hawana nia ya kufanya fujo za aina yoyote, bali wanachohitaji ni kupata suluhu ya tatizo hilo ambalo limewaathiri kimasomo na kisaokolojia hasa kwa kuzingatia kuwa wengi wao wazazi wanategemea fedha kujikimu za watoto wao

SOMA MAGAZETI YA LEO JUMATANO, MEI 20

Image

TARAJI .P. HENSON ALITISHA KWA MUONEKANO KATIKA TUZO TA BILLIBOARD AWARD

Image
Taraji amejizolea umaarufu mkubwa katika series ya "Empire" ambayo imetoka mwaka huu na kutokea kupendwa na watu wengi kulingana na content yake though kuna mambo mengine ambayo kwa mila na desturi za kiafrika hazikubaliani nazo kama usagaji na ushoga. Tuzo hizi zimefanyika mwishoni mwa wiki iliyopita, hapa taraji akipata katika red carpet Email This BlogThis! Share to Twitter Share to Facebook

BitPesa now in Tanzania - Send money to Africa, to their mobilephone

Image
Info Post Subi Nukta 3:30 PM No Comment Excerpts from  Jeff Maxim's article African Bitcoin startup  BitPesa  launched its remittance service in Tanzania on May 18, 2015.  The service previously was available only in Kenya, where the company is headquartered. It launched its international money transfer there last year. The company operates an exchange in Kenya and Ghana. Tanzania is the first country the startup has expanded its international money transfer service. BitPesa’s service allows anyone to send money to any Tanzanian phone number and charges a flat 3 percent on all its transfers. It also promises the money will arrive instantly. It hopes to undercut the fees charged by incumbents’ remittance services. A 2013 World Bank  press release  said that Tanzania, alongside South Africa and Ghana, were the most expensive African countries to remit money to. Fees reportedly could get as high as 20 percent. M-Pesa, have partnered with Weste

TUJIKUMBUSHE MANENO YA BABA WA TAIFA, JUNI 1995

Image

SAUTI SOL WATAJWA KUWANIA TUZO ZA BET 2015, ANGALIA NA VIPENGELE VINGINE

Image
Wasanii wanaounda kundi maarufu la Sauti Sol nchini Kenya. BEST FEMALE R&B/POP ARTIST BEYONCÉ CIARA JANELLE MONÁE JHENÉ AIKO K. MICHELLE RIHANNA BEST MALE R&B/POP ARTIST AUGUST ALSINA CHRIS BROWN JOHN LEGEND THE WEEKND TREY SONGZ USHER BEST GROUP A$AP MOB JODECI MIGOS RAE SREMMURD RICH GANG YOUNG MONEY BEST COLLABORATION AUGUST ALSINA F/ NICKI MINAJ – NO LOVE (REMIX) BIG SEAN F/ E-40 – IDFWU CHRIS BROWN F/ LIL WAYNE & TYGA – LOYAL CHRIS BROWN F/ USHER & RICK ROSS – NEW FLAME COMMON & JOHN LEGEND – GLORY (FROM THE MOTION PICTURE “SELMA”) MARK RONSON F/ BRUNO MARS – UPTOWN FUNK BEST MALE HIP HOP ARTIST BIG SEAN COMMON DRAKE J. COLE KENDRICK LAMAR WALE BEST FEMALE HIP HOP ARTIST AZEALIA BANKS DEJ LOAF IGGY AZALEA NICKI MINAJ TINK TRINA VIDEO OF THE YEAR BEYONCÉ – 7/11 BIG SEAN F/ E-40 – IDFWU CHRIS BROWN F/ LIL WAYNE & TYGA – LOYAL CHRIS BROWN F/ USHER & RICK ROSS – NEW FLAME COMMON & JOHN LEGEND – GLORY (FROM THE MOTION PICTURE “SELMA”)