Posts

WALIONUFAIKA NA UFADHILI WA MASOMO NCHINI JAPAN WAAGWA

Image
  Balozi wa Japani nchini Tanzania Bw. Masaharu Yoshida akizungumza wakati wa hafla fupi ya kuwaaga Watanzania walionufaika na ufadhili wa masomo wa mpango wa ABE Initiative  wakati wa hafla fupi ya kuwaaga  iliyofanyika nyumbani kwake mapema jana Kaimu Katibu Mkuu Utumishi Bw. HAB Mkwizu (wa sita kutoka kulia) na Balozi wa Japan nchini Bw. Masaharu Yoshida (wa tano kutoka kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na watanzania wakionufaika na ufadhili wa mpango wa ABE Intiative baada ya hafla fupi ya kuwaaga iliyofanyika nyumbani kwa Balozi huyo mapema jana. Wengine ni Maofisa kutoka Utumishi na JICA. Kilonge

Ilani ya CCM yakamilika, Hakuna ahadi ya laptop, fedha

Image
Ilani ya CCM 2015 Ndugu Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM akielekea kwenye ukumbi wa mkutano kwa ajili ya kuzungumza na waandishi wa habari, huku akiwa ameshikilia kitabu cha Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2015-2020 iliyopitishwa jana na Halmashauri Kuu ya CCM mjini Dodoma. Ilani hiyo inayotarajiwa kuzinduliwa tarehe 25 Agosti ndiyo itakayotumika kwa kipindi cha miaka 5 ijayo iwapo Chama cha Mapinduzi CCM kitapewa ridhaa na wananchi kuongoza nchi kupitia mgombea wake wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli, katika uchaguzi mkuu ujao wa rais, Wabunge na Madiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25 mwaka huu kote nchini Tanzania. Nape Nnauye amelaani na kuzikanusha taarifa zilizozagaa kwenye mitandao ya kijamii na baadhi ya magazeti kuandika kwamba Dk. John Pombe Magufuli alinukuliwa akisema atagawa kwa kila mwalimu kompyuta moja na kila kijiji shilingi milioni 50  "Jambo hili ni uzushi mkubwa kwani Ilani ya Uchaguzi ilikuwa haijakuwa tayar

MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI,AUGUST 15 YAPO HAPA

Image
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

Sheria ya mitandao itaanza kufanya kazi mnamo tarehe 01/09/2015, Jiepushe na haya

Image
Elimu ndogo ninataka kushiriki nanyi ndugu zangu kupitia semina nikiwa kama mualikwa na mamlaka ya mawasiliano Tanzania ( TCRA ) mnamo tarehe 06 na 07/08/2015: NOTE: Sheria ya mitandao itaanza kufanya kazi mnamo tarehe 01/09/2015 kwa maana hiyo basi hukumu za vifungo vinavyoambatana na faini za pesa nyingi zitafanyika kupitia vyombo vya sheria kwa kufuata utaratibu ( Polisi na Mahakama ) Vitu vya kujiepusha: 1. Kusambaza ujumbe wa uchochezi ama ushawishi wa kisiasa unaoweza kuleta athari kwa jamii yetu kupitia mitandao 2. Kusambaza au kutunga ujumbe unaoleta uchochezi wa kidini unaoweza kupelekea kuvuruga amani na maelewano kwa jamii kupitia mitandao 3. Kusambaza picha ama video za utupu ama zilizokosa maadilk kwa jamii kupitia mitandao mbalimbali ( Watsapp,Facebook,Youtube,Instagram n.k ) 4. Kusambaza picha ama video za uchochezi wa kidini ama kisiasa kupitia makundi mbalimbali ama mitandao ya kijamii 5. Kushiriki kusambaza chochote kati ya vilivyotajwa hapo juu  �� �� �� �� (

Shemeji wa ZARI aibula na kudai TIFFAH si mtoto wa Diamond!

Image
Kazi ipo! Siku chache baada ya kuliona jua, mtoto wa kike ‘baby girl’ wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ aliyempata kupitia kwa mwandani wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, Latifah a.k.a Princess Tiffah anazidi kuwa gumzo. TIFFAH SI WA DIAMOND? Safari hii shemeji wa Zari ambaye ni rafiki mkubwa wa aliyekuwa mumewe wa ndoa aliyezaa naye watoto watatu wa kiume, Ivan Ssemwanga aitwaye King Lawrence ameibuka na kudai: “Tiffah si mtoto wa Diamond.” Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Uganda, King Lawrence, mwenye makazi yake nchini humo na Afrika Kusini ‘Sauz’ ameacha watu midomo wazi kwa kuendelea kusisitiza kuwa Tiffah ni damu ya Ivan. GUMZO UGANDA Vyombo hivyo vimeenda mbali zaidi kwa kudai kuwa Tiffah hafanani na Diamond bali Ivan, jambo lililoibua gumzo kubwa nchini humo. Hata hivyo, vyombo hivyo vilidai kuwa kwa mujibu wa chanzo cha ndani ya familia ya Diamond, sura ya mtoto huyo ni Ivan mtupu kwani anafanana na wanaye watatu aliozaa na Zari. KINARA NI K

Manchester United yashinda dhidi ya Aston Villa bao 0-1

Image
If the rumours are to be believed, Aston Villa may have to deal with Adnan Januzaj in their next home game, too. Sunderland, August 29. If Dick Advocaat succeeds in securing Januzaj on loan, Villa will get to play him twice in three games. Something about his performance, however, suggested that may no longer be the case. Januzaj scored the only goal and while he lasted no more than an hour before being replaced by Ander Herrera as Manchester United shored up their midfield to make certain of victory, one imagines Louis van Gaal will have seen enough. Why should Sunderland get the benefit of United’s labour even if, in doing so, they are further preparing Januzaj for a Premier League career? Why can’t he make an impact with his employers this season? If not every week, then in enough games to prove his worth as a squad man, at least.  Januzaj watches his shot hit the net, beating Micah Richards, Brad Guzan, Ciaran Clark and Jordan Amavi in the process