RAIS JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI AWAAPISHA MAWAZIRI ALIOWATEUA HIVI KARIBUNI
Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni na Sanaa, Bi. Anastazia Wambura (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Mhe. Joyce Ndalichako (katikati) wakati wa sherehe ya kuapishwa kwa Mawziri wapya wanne ambao walikuwa bado hawajateuliwa na Rais, sherehe hizo zimefanyika leo Ikulu jijini Dar es Salaam. Mawaziri wapya wakiwa tayari kuapishwa leo Ikulu jijini Dar es Salaam. Mawaziri wapya wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya kuapishwa leo Ikulu Jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. John Pombe Joseph Magufuli (kushoto) akimuapisha Mhe. Profesa Jumanne Maghembe (kulia) kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, leo Ikulu Jijini Dar es Salaam. (P.T) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. John Pombe Joseph Magufuli (kushoto) akimuapisha Mhe. Dkt. Joyce Ndalichako (kulia) kuwa Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi. (Ni baada ya kumteua kuwa Mbunge), leo Ikulu Jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri