Posts

Moise Katumbi, ahukumiwa kifungo cha miaka 3 jela

Image
Mwanasiasa wa upinzani Moise Katumbi akiasindikizwa na wafuasi wake mahakamani, mjini Lubumbashi, Mei 11, 2016. Mahakama moja mjini Kamalondo, Lubumbashi, imemuhukumu kifungo cha miaka 3 jela, aliyekuwa gavana wa jimbo la Katanga na mgombea urais kupitia muungano wa vyama vya upinzani, Moise Katumbi Chapwe. Katumbi alishtakiwa mahakamani kwa tuhuma za kumdhulumu nyumba raia mmoja wa Ugiriki, Alexander Stoupis, tuhuma ambazo mara zote, Katumbi amekuwa akikanusha. Hukumu hii ambayo imetolewa bila ya Katumbi mwenyewe kuwepo mahakamani kutokana na kuwa nje ya nchi akiendelea kupatiwa matibabu, imeamsha hisia kali miongoni mwa wafuasi wake na vyama vya upinzani. Tayari aliyekuwa spika wa Bunge la Katanga na mmoja wa wanachama wa mu

Ajira serikalini zasitishwa

SERIKALI imesitisha ajira zote, kama njia ya kukabiliana na wimbi la watumishi hewa. Kutokana na uamuzi huo hivi sasa hakuna nyongeza ya mishahara kwa watumishi wa Serikali na wakala zake pamoja na utoaji wa vibali wa likizo ya bila malipo. Akizungumza na   MTANZANIA   jana jijini Dar es Salaam Katibu Mkuu Utumishi, Dk. Laurean Ndumbaro, alisema kuwa Serikali imesitisha kwa muda utoaji wa ajira, ili kupitia upya muundo wa Serikali na taasisi zake. Alisema utekelezaji wa mkakati huo utakwenda sambamba na kusitisha kwa muda utoaji wa vibali vya ajira zote mbadala pamoja na uidhinishaji wa ajira hizo zilizopo Sekreterieti ya Ajira katika utumishi wa umma na kwenye mfumo wa taarifa za kiutumishi. “Ni kweli tumesitisha kwa muda ili kupitia mfumo wa Serikali na hata kuangalia ulipaji wa mishahara kama upo katika malipo stahiki. “…na hili litakwenda sambamba na hata kusitishwa malipo ya mishahara yanayotokana na upandishwaji wa vyeo kwa watumishi. Tukimaliza zoezi hili ndipo tunaweza kuanz

Tangazo la ajira ya muda ya kukusanya ushuru wa maegesho ya magari

Image

IGP MANGU -AKAGUA UJENZI WA KITUO KIPYA CHA KUPOKELEA SIMU ZA DHARURA (CALL CENTRE)

Image
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Ernest Mangu akitoa maelekezo kwa wasimamizi wa kituo kipya cha kupokelea simu za dharura (CallCentre) wakati alipofanya ziara ya kukagua maendeleo  ya ujenzi wa kituo hicho ambacho kitazinduliwa hivi karibuni ikiwa ni hatua mojawapo  ya utekelezaji wa Mpango wa Kuboresha usalama wa Jamii, unaotekelezwa na Jeshi la Polisi kwakushirikiana na Ofisi ya Rais, ufuatiliaji wa utekelezaji wa miradi(PDB) katika mkoa wa Kipolisi Kinondoni ambapo kupitia kituo hicho wananchi wataweza kuripoti matukio na kupokelewa mapema tofauti na ilivyo hivi sasa. Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Ernest Mangu akitoa maelekezo kwa wasimamizi wa kituo kipya cha kupokelea simu za dharura (CallCentre) wakati alipofanya

[video] Kauli ya Sumaye na Polisi walivyowatawanya wanafunzi waliokuwa kwenye mahafali Dodoma

Image
[video]Kauli ya Sumaye na Polisi walivyowatawanya wanafunzi waliokuwa kwenye mahafali Dodoma Video iliyopachikwa hapo chini inaonesha ilivyotokea leo katika ukumbi wa hoteli ya African Dream mjini Dodoma, ambapo jeshi la polisi limewatawanya wanafunzi wa vyuo vikuu ambao ni wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliokuwa katika ukumbi huo kwa ajili ya kushiriki mahafali yaliyoandaliwa na viongozi wa chama hicho. Inayovuata ni video ya wanafunzi wa vyuo vikuu Dodoma waliozungumza na waandishi wa habari mara baada ya polisi kuwatawanya katika hoteli ya African Dream. Ya mwisho ni video ya alichokisema Waziri Mkuu mstaafu Frederick Sumaye leo, katika ukumbi wa hoteli ya African Dream mjini Dodoma, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya jeshi la polisi kuwatawanya wanafunzi wa vyuo vikuu waliokuwa kwenye mahafali.

Tanzania's Mercy Kitomari wins Agribiz contest in Kenya

Image
Mercy Kitomari A Tanzanian, Mercy Kitomari, has won a 3,000 US dollars (over 6.0m/-) after excelling in a regional youth agribusiness contest held in Kenya. Mercy, of Nelwas Gelato Company, took the second position in the 2016 Young Innovators in Agribusiness Competition Start-ups category held in Nairobi Kenya. She beat 13 other competitors from Kenya, Tanzania, Rwanda and Burundi to receive 3,000 US dollars as a seed capital, according to a statement from Nairobi. Nelwas Gelato provides ice cream, popsicles and sorbets with fresh fruit taste and low fat. The Inter Region Economic Network and Young Innovators in Agribusiness Competition Team Leader, Director, Mr James Shikwati said the main goal was to offer young innovators an opportunity to scale up agribusiness activities through training initiatives. “This is with a view of stimulating enterprises that are investible, sustainable, competitive and ready to play an active role in the larger East African market,” said Mr Shi

KUPANDA MABASI YA MWENDO WA HARAKA JIJINI DAR SASA NI KWA KADI

Image
 Mkurugenzi Mtendaji wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (Udart),  David Mgwasa (kushoto),akionesha kipeperushi chenye maelezo ya matumizi ya kadi zitakazotumika katika mabasi hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari Makao Makuu ya Udart Jangwani jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya MaxMalipo ambao wameingia ubia na Udart  katika matumizi ya kadi hizo, Mhandisi Juma Rajabu.  Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya MaxMalipo ambao wameingia ubia na Udart  katika matumizi ya kadi hizo, Mhandisi Juma Rajabu (kulia), akizungumza katika mkutano huo. Kushoto ni Ofisa Habari UDART, Deus Bugaywa.  Wanahabari wakichukua taarifa hiyo. Mkutano na wanahabar ukiendelea. Na Dotto Mwaibale MRADI wa Mabasi Yaendayo Haraka jijini Dar es Salaam (UDART) imeanzisha huduma kwa wateja wao za kutumia kadi maalumu wakati wa kupanda mabasi hayo iliyoanza rasmi jana. Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Sal

Magazeti ya Leo Jumatatu

Image
Read: 105 times Be the first to comment!

Tanzania and Sweden signs a Development Cooperation Agreement

Image
L-R: Permanent Secretary Dr Servacius Likwelile and State Secretary, Ulrika Modéer signing development cooperation agreement. Photo: Lars Johannson During a signing ceremony in Dodoma onThursday 16 June Tanzania, represented by Permanent Secretary Dr. Servacius Likwelile, and Sweden, represented by State Secretary Ulrika Modéer, renewed the long standing cooperation between Sweden and Tanzania. The agreement constitutes a framework for the development cooperation under the current Development Cooperation Strategy for Tanzania. A key objective for the cooperation is to create opportunities for higher standards of living for people living in poverty. L-R: P.S. Dr Likwelile, Maria Van Berlekom, Head of cooperation embassy of Sweden, Swesidh ambassador to Tanzania Katarina Rangnitt and State secretary Ulrika Modéer; Photo:   Lars Johannson

Magazeti ya Leo Jumamosi

Image