IGP MANGU -AKAGUA UJENZI WA KITUO KIPYA CHA KUPOKELEA SIMU ZA DHARURA (CALL CENTRE)
Mkuu wa
Jeshi la Polisi nchini IGP Ernest Mangu akitoa maelekezo kwa wasimamizi
wa kituo kipya cha kupokelea simu za dharura (CallCentre) wakati
alipofanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa kituo hicho ambacho
kitazinduliwa hivi karibuni ikiwa ni hatua mojawapo ya utekelezaji wa
Mpango wa Kuboresha usalama wa Jamii, unaotekelezwa na Jeshi la Polisi
kwakushirikiana na Ofisi ya Rais, ufuatiliaji wa utekelezaji wa
miradi(PDB) katika mkoa wa Kipolisi Kinondoni ambapo kupitia kituo hicho
wananchi wataweza kuripoti matukio na kupokelewa mapema tofauti na
ilivyo hivi sasa.

Askari
Polisi wakiwa katika mafunzo maalumu ya kupokea simu katika kituo kipya
cha kupokelea simu za dharura (CallCentre) ambacho kitazinduliwa hivi
karibuni ikiwa ni hatua mojawapo ya utekelezaji wa Mpango wa Kuboresha
usalama wa Jamii, unaotekelezwa na Jeshi la Polisi kwakushirikiana na
Ofisi ya Rais, ufuatiliaji wa utekelezaji wa miradi(PDB) katika mkoa wa
Kipolisi Kinondoni ambapo kupitia kituo hicho wananchi wataweza
kuripoti matukio na kupokelewa mapema tofauti na ilivyo hivi sasa.
(Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi)
Comments
Post a Comment