Posts

MWANAMKE ANASWA AMEBEBA UNGA KWA MBINU MPYA,

Image
Kila siku wauzaji wa dawa za kulevya wamekuwa wakibuni njia mpya ya kusafirisha dawa hizo kwa nchi ambazo zimepiga marufuku usafirishaji na utumiaji wa dawa hizo. Mwanamke mmoja Uingereza amekamatwa baada ya kukutwa akiwa amebeba dawa za kulevya aina ya Cocaine ndani ya sidiria. Mwanamke huyo  Nola Williams  alikamatwa katika uwanja wa ndege wa  Gatwick , akitokea Jamaica akiwa na mtoto mdogo pamoja na kijana anaejihusisha na biashara hiyo ambaye jina lake ni  Raymond Goodison , ambao walikamatwa walipotaka kupanda treni kutoka uwanja wa ndege wa Gatwick kuelekea Victoria ndani ya London. Wakati  Polisi wakifanya ukaguzi waligundua kilo moja ya cocaine yenye thamani ya dola £180,000 zikiwa imeshonewa kwenye sidiria ya mwanamke huyo. Nola  anasubiri kifungo chake, huku kijana aliyeambatana naye amehukumiwa kifungo cha miaka 13 kwa kosa la kujaribu kuingiza zaidi ya kilo moja ya dawa za kulevya aina ya Cocaine huku ikibainika kuwa sio tukio lake la mara ya kwanza.

MAGAZETI YA LEO JUMANNE

Image

WAKENYA WAANZA KUZUILIWA KUINGIA HOTEL ZA WATU WEUPE KWANZIA SAA 11 JIONI NCHINI MWAO

Image
Hotel ya Kichina iliyopo barabara ya Galana katika kitongoji cha Kilimani, jijini Nairobi imeanza utaratibu mpya wa kuwazuia wakenya kuingia hotelini hapo baada ya saa 11 jioni,h ii ni kutokana na kusemakana kwamba uwepo wa Mkenya(Weusi) katika maeneo ya starehe unahatarisha usalama wa watu wenye ngozi nyeupe. Inaaminika kuwa Mkenya yeyote anayeingia Hotelini huma huenda akawa ni miongoni mwa kundi la Al- shabaab mwenye lengo la kutekeleza ulipuaji wa bomu. Ili mkenya aweze kuruhusiwa kuingia katika hotel hiyo ni sharti na lazima atumie kiasi cha Ksh 20,000 na kwa kipindi cha muda Fulani.Tax driver pekee tu ndiye anayeruhusiwa kuingia hotelini baada ya muda huu, na ni sharti awe anamsindikiza mteja mwenye ngozi nyeupe Hata baadhi ya viongozi wa Kenya wa ngazi ya juu wamezuiliwa kuingia Hotelini humo CHANZO  RT.COM

TAHADHARI: MVUA KUBWA KUENDELEA KUANZIA MACHI 23 - 25 KWENYE MAENEO YA PWANI YA NCHI

Image

JOB OPPORTUNITY AT SUA FOR A RESEARCH ASSITANT AND A DRIVER

Image
Ad source:  suanet.ac.tz

HATI YA SHAMBA LA MWEKEZAJI YAFUTWA, RAIS KIKWETE AAGIZA LIGAWANYWE KWA WANANCHI

Image
Rais Jakaya Kikwete amefuta hati ya shamba la Kampuni ya Galapo Ufyomi Estate lenye ukubwa wa Heka 1,220 lililoko Kata ya Galapo, wilayani Babati mkoani Manyara na kuagiza ligawanywe kwa wananchi. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi alisema hayo juzi wilayani Babati, alipokuwa akizungumza na wananchi na viongozi waliokuwa wakimwelezea kero mbalimbali za migogoro ya ardhi. Lukuvi alisema Rais Kikwete amefuta hati za shamba hilo na kuagiza ligawiwe kwa wananchi wa vijiji vya Gidejabung, Gedamara na Ayamango, ambao walikuwa na uhaba wa ardhi. “Baada ya Rais kufuta hati ya shamba hilo, sasa viongozi wa mkoa na wilaya hakikisheni mtu ambaye anahodhi eneo kubwa bila kuliendeleza, anang’anywa na kupatiwa wananchi, mtakaposhindwa tuleteeni juu,”  alisema Lukuvi. Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara, Mhandisi Omari Chambo alisema Serikali imetoa kusudio la kufutwa kwa miliki za mashamba matatu ya Kampuni ya Hamir Estate yaliyoko Bonde la Kiru. Alisema ma

MFUMO WA KUKOKOTOA ADA ZA VYUO VIKUU KUKAMILIKA MWEZI APRILI

Serikali inaandaa Mfumo (software) wa kukokotolea ada zinazotumika katika Vyuo Vikuu vyote nchini kutokana na tofauti za kiasi cha ada kinachotozwa na Vyuo Vikuu nchini, Mfumo huu unatarajiwa kukamilika ifikapo mwezi Aprili, 2015. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mhe. Anne Kilango wakati akijibu swali la msingi la Mhe. Amina Makilagi, Mbunge wa Viti Maalum aliyetaka kujua iwapo mchanganuo wa ada za vyuo vya umma unaendana na hali halisi za Watanzania wa kipato cha chini. “Serikali ilifanya utafiti wa kina kwa kushirikisha wadau mbalimbali ili kuweza kupanga Ada Elekezi kwa program zote zinazofundishwa katika Vyuo Vikuu Vyote na kwasasa Serikali inaandaa Mfumo wa kukokotolea ada zitakazotumika katika Vyuo Vikuu Vyote” alisema Mhe. Kilango Ada katika Vyuo Vikuu vya Umma, ikiwa ni pamoja na Chuo Kikuu cha Dar es salaam na Chuo Kikuu cha Dodoma zinatofautiana kati ya chuo na program ambayo mwanafunzi anasomea Mhe. Kilango alitoa mifano ya tofauti za ada kat

MSIMU MPYA WA KTMA 2015 WAZINDULIWA LEO

Image

PICHA: THE BOSS LADY ZARI PAMOJA NA THE BOSS CHICK HUDDAH KATIKA PARTY YA PAMOJA NCHINI KENYA

Image
Hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye party iliyoandaliwa na Zari na Huddha [Boss Lady wa Uganda na Kenya]. Pati imefanyika  kwenye mgahawa wa Art Of Luxury #Skylux Lounge iliyopo Kenya.           

MAJINA MAPYA YA WANACHAMA WA ACT-TANZANIA WAKITOKEA CHADEMA

Image
Siku moja baada ya aliyekuwa mbunge wa Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya CHADEMA kujiunga rasmi na chama cha ACT, kuna wimbi kubwa la wafuasi na wanachama wa CHADEMA kukihama chama hicho na kumfuata Zitto. Hawa ni baadhi ya viongozi mbalimbali waliokuwa wanachama wa CHADEMA ambao wameamia ACT- TANZANIA

WASHROOM YA NYUMBA MPYA YA DIAMOND PLATNUMZ KUFURU, MILLION 70 ZATUMIKA KUTENGENEZA

Image
Washroom ya nyumba mpya ya Diamond kufuruu, yagharimu kiasi cha shillingi million 70 huku ikiwa imenakshiwa kwa dhahabu halisi. Haya ndio maneno aliyoyaandika Diamond Platnumz katika picha aliyo post instagram "In my 70Million Pure Gold plated toillet...pupping and Movies Lol!..i can't wait to play dirty game with her tonight IN THE MAKING OF STATE HOUSE!!!..thanks alot @Red_interiors i can"t wait for the State house to Be Done! Done"