WAKENYA WAANZA KUZUILIWA KUINGIA HOTEL ZA WATU WEUPE KWANZIA SAA 11 JIONI NCHINI MWAO
Hotel ya Kichina iliyopo barabara ya Galana katika kitongoji cha Kilimani, jijini Nairobi imeanza utaratibu mpya wa kuwazuia wakenya kuingia hotelini hapo baada ya saa 11 jioni,hii ni kutokana na kusemakana kwamba uwepo wa Mkenya(Weusi) katika maeneo ya starehe unahatarisha usalama wa watu wenye ngozi nyeupe.
Inaaminika kuwa Mkenya yeyote anayeingia Hotelini huma huenda akawa ni miongoni mwa kundi la Al- shabaab mwenye lengo la kutekeleza ulipuaji wa bomu.
Ili mkenya aweze kuruhusiwa kuingia katika hotel hiyo ni sharti na lazima atumie kiasi cha Ksh 20,000 na kwa kipindi cha muda Fulani.Tax driver pekee tu ndiye anayeruhusiwa kuingia hotelini baada ya muda huu, na ni sharti awe anamsindikiza mteja mwenye ngozi nyeupe
Hata baadhi ya viongozi wa Kenya wa ngazi ya juu wamezuiliwa kuingia Hotelini humo
CHANZO RT.COM

Comments
Post a Comment