Posts

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL, RAIS WA ZANZIBAR DKT SHEIN, WASHIRIKI DUA MAALUM YA KUMSWALIA BI KIDUDE

Image
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Rais wa Zanzibar, Dkt. Mohammed  Ali Mohamed Shein, wakishiriki katika dua maalum ya kumswalia marehemu Fatma Baraka ‘Bi Kidude’, iliyofanyika mchana huu  katika Msikiti wa Mwembeshauri mjini Zanzibar. Bi Kidude anatarajia kuzikwa mchana huu kijijini kwao Kitumba Wilaya ya Kati,  Unguja.   Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Rais wa Zanzibar, Dkt. Mohammed  Ali Mohamed Shein, wakishiriki katika dua maalum ya kumswalia marehemu Fatma Baraka ‘Bi Kidude’, iliyofanyika mchana huu  katika Msikiti wa Mwembeshauri mjini Zanzibar. Bi Kidude anatarajia kuzikwa mchana huu kijijini kwao Kitumba Wilaya ya Kati,  Unguja.Picha na OMR   Msanii wa muziki wa kizazi kipya Ramadhan Nasib (kulia)’Diamond Plutnum’, akiwa ni mmoja kati ya wasanii  waliohudhuria katika dua maalum ya kumswalia marehemu Fatma Baraka ‘Bi Kidude’, iliyofanyika mchana huu katika Msikiti wa  Mwembes

CHAGUA DOVAKMWENE MSCHESHI KUWA RAIS WA SAUT

Image
Onyesha uzalendo wako kwa vitendo kwa kujitokeza kesho tarehe 12/04/2013 siku ya Ijumaa kuanzia saa 2 Asubuhi fika bila kukosa ukiwa na kitambulisho chako cha chuo na umpigie kura ya NDIO mwanachama wetu wa SSPRA Mh. Dovakmwene Mscheshi anayewania nafasi ya urais katika serikali ya wanafunzi SAUTSO akiwa na makamu wake Mrosso Emiline

SASA WANANFUNZI WA SECONDARY WAPATA MTANDAO WA KUJIFUNZIA,

Hii ni mojawapo ya idea ambayo mimi mwenyewe nimeipenda sana, kiukweli ni unique idea kutoka kwa dada yetu FARAJA NYALANDU kwa kuja na idea ya kuwa na shule ya ONLINE kupitia  internet ambapo kwa sasa wale wanafunzi wote wa secondary kuanzia kidato cha kwanza mpaka cha nne  wataweza kusoma na kupata notice mbalimbali za masomo yao kupitia mtaala unaotumika kwa sasa,pia wanafunzi hao wataweza kufanya mitihani,quiz na kuweza kusahihishiwa na walimu ambao watakuwepo katika kusaidia kazi nzima. Kujiunga ni bure kabisa                                                     click link hii hapa kufungua tovuti hiyo                                                                                                                                        SHULE DIRECT

MSIKILIZE PREZZO KWENYE XXL YA JANA

Image
Prezzo interview ya XXL

UTABIRI WA HALI YA HEWA APRIL 06-JUMAMOSI

Image
WIZARA YA UCHUKUZI                                MAMLAKA  YA HALI YA HEWA . S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM TELEFAX-2460772. UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO . TAREHE 06/04/2013. [[Mikoa ya Dodoma na Singida ]: [Mikoa ya Kigoma, na Tabora]: Hali ya mawingu ,mvua na ngurumo kwa baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua [Mikoa ya Kagera, Mara, Mwanza  na Shinyanga]: [Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara]: [Mikoa ya Rukwa ,Mbeya na Iringa]: Hali ya mawingu kiasi mvua na ngurumo kwa maeneo machache na vipindi vya jua [Mikoa ya Morogoro na Ruvuma]: Hali ya mawingu, mvua na  ngurumo katika  maeneo  machache na vipindi vifupi vya jua. [Mikoa ya Dar es Salaam,Tanga na Pwani]: [Visiwa vya Unguja na Pemba]: [Mikoa ya Lindi na Mtwara]: Hali ya mawingu kiasi na mvua  katika maeneo  machache na vipindi  vya jua. VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI,MACHI 6.

Image
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

VICHWA VYA MAGAZETI IJUMAA YA TAREHE 6

Image
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . SOURCE  http://millardayo.com/