SASA WANANFUNZI WA SECONDARY WAPATA MTANDAO WA KUJIFUNZIA,
Hii ni mojawapo ya idea ambayo mimi mwenyewe nimeipenda sana, kiukweli ni unique idea kutoka kwa dada yetu FARAJA NYALANDU kwa kuja na idea ya kuwa na shule ya ONLINE kupitia internet ambapo kwa sasa wale wanafunzi wote wa secondary kuanzia kidato cha kwanza mpaka cha nne wataweza kusoma na kupata notice mbalimbali za masomo yao kupitia mtaala unaotumika kwa sasa,pia wanafunzi hao wataweza kufanya mitihani,quiz na kuweza kusahihishiwa na walimu ambao watakuwepo katika kusaidia kazi nzima.
Kujiunga ni bure kabisa
click link hii hapa kufungua tovuti hiyo
SHULE DIRECT
Kujiunga ni bure kabisa
click link hii hapa kufungua tovuti hiyo
SHULE DIRECT
Comments
Post a Comment