UTABIRI WA HALI YA HEWA APRIL 06-JUMAMOSI
WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 06/04/2013.
[[Mikoa ya Dodoma na Singida ]:
[Mikoa ya Kigoma, na Tabora]:
|
Hali ya mawingu ,mvua na ngurumo kwa baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua
| |
[Mikoa ya Kagera, Mara, Mwanza na Shinyanga]:
[Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:
[Mikoa ya Rukwa ,Mbeya na Iringa]:
|
Hali ya mawingu kiasi mvua na ngurumo
kwa maeneo machache na vipindi vya jua
| |
[Mikoa ya Morogoro na Ruvuma]:
|
Hali ya mawingu, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vifupi vya jua.
| |
[Mikoa ya Dar es Salaam,Tanga na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:
|
Hali ya mawingu kiasi na mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango cha juu cha joto
|
Machweo (Saa)
|
ARUSHA
|
25°C
|
12:44
|
D'SALAAM
|
32°C
|
12:33
|
DODOMA
|
29°C
|
12:47
|
KIGOMA
|
29°C
|
01:11
|
MBEYA
|
25°C
|
12:56
|
MWANZA
|
27°C
|
12:58
|
TABORA
|
29°C
|
12:59
|
TANGA |
32°C
|
12:34
|
ZANZIBAR
|
33°C
|
12:33
|
PEMBA
|
32°C
|
12:29
|
MOROGORO
|
31°C
|
12:35
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-mashariki kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani yote.
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa kiasi.
Matazamio kwa siku ya Jumamosi 06/04/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 06/04/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
Comments
Post a Comment